Ni kweli kaka. Na unapokua na wachezaji 7 wanao shambulia goli la adui tena wengi wenye sifa ya kukimbia kwa kasi na drive mipira km Hazard Pedro na Moses. Timu pinzani lazima zipate tabu maana km ukiwaendea hovyo Basi lazima mkwaju Wa penati ukuhusu au kadi ya njano au nyekundu. Hapo ndio utaona pamoja na kucheza huu mfumo Conte anatumia uwezo binafsi Wa wachezaji na kwa muktadha huu huyu Costa kila game lazima atupie. Nasubiri game yetu na Man City Etihad December 3 nione how this formation gona work.Kaka mi nilikuwa ni miongoni mwa waliompokea Conte kwa shingo upande sababu ya mazoea ya Mou, na zile mechi za mwanzo timu ilikuwa mbovu sana
Lakini kwa sasa kwa mfumo huu ni balaa maana Chelsea wanaonekana wako 15 Kiwanjani, kipa mmoja, mabeki saba na Foward saba, maana wale watatu wa nyuma wakishambuliwa wale wane wa kati wanakuja kuwa mabeki na wale watatu wakishambulia wanne wa kati wanakuja kuongeza idadi, kwa hiyo nyuma hakufungiki na mbele tunatupia tu kwenye nyavu,
Timu sasa imesimama, ila kocha anapaswa kuwa na sub ya ukweli kwa Victor, Kante na matic maana wakiumia au wakiwa na kadi ni balaa
Zereu sasa hizo......Hatutakuangusha Mcharo wangu wale wetu ni nyie na Man city safari ya kwanza tu mlituotea.....big four hatupotezi tena, Hata nyie mjiandae mkija kwetu[emoji3]
Hatutakuangusha Mcharo wangu wale wetu ni nyie na Man city safari ya kwanza tu mlituotea.....big four hatupotezi tena, Hata nyie mjiandae mkija kwetu[emoji3]
Zereu sasa hizo......
Nyie ni wateja wetu tu....
Mzee Wa kupaki bus mnae huko kz mnayo
mdada kwema? ......mark my word, kiukweli sioni kwa namna yoyote mkimfunga Arse888 pia sioni kwa namna yoyote mkimaliza msimu top 6 ..........
Ngoja tufike huo muda tuone km timu yetu itakua bado ktk kiwango kizuri km hichi au lah na pia tuone man u wamebadilika VP au wako vile vile. Hapo tukikaribia ndo tutaona tathmini vzr.Ila hii mechi ya marudiano inaweza kuwa ngumu sana kwetu kwa maana ya kwamba Mou ataamua kupaki basi dakika 90...either draw au tushinde 1 - 0. Itakuwa ngumu.
Dah mkuu usiseme hivyo...hiyo siku nitakuwa upande wa Mou kwa kweli ingawa reality inaniambia vinginevyo...naumia!!!
My Mcharo ninauhakika ninachokinena[emoji85] [emoji23] ....kiswahili shida[emoji3]Huku unakoenda sasa watu watakucheka Mrs Mcharo...
Kwema kabisa hofu kwako,eeehhhh Wewe wasema sisi ndiye...... embu siku moja moja niombeage heri mwweee Hata kama ya kinaaa[emoji23]mdada kwema? ......mark my word, kiukweli sioni kwa namna yoyote mkimfunga Arse888 pia sioni kwa namna yoyote mkimaliza msimu top 6 ..........
Eeeehhhh hakuna kitu kama hicho.Zereu sasa hizo......
Nyie ni wateja wetu tu....
Mzee Wa kupaki bus mnae huko kz mnayo
Kwema kabisa hofu kwako,eeehhhh Wewe wasema sisi ndiye...... embu siku moja moja niombeage heri mwweee Hata kama ya kinaaa[emoji23]
Wakuu mnahabar kuwa golikipa wetu anamajeraha ya jicho?
Bas itakuwa poa kama hajaumia sanaHii ni tweet yake mwenyewe: Everything's ok with my eye, had it for 2 weeks and doesn't effect my goalkeeping
Bas itakuwa poa kama hajaumia sana