Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #33,781
Pedro na Fab wanacheza nafasi mbili tofauti, Fab anatakiwa akabe sana na kupeleka mipira mbele. Pedro yeye kwa mfumo huu ni kufunga tu kukaba ni kidogo sana. Sema Conte anamjaribisha mchezaji mara moja tu asipodeliver anaachana nae. Kumuweka Bench Batshuay inanikera sana
fuatilia vizuri games 3 fab alizoanza, hamna clean sheet..! hiyo fact toshaCoach wa mwezi nani
sawa alimwambia hivyo, je ameshampa nafasi akachemka? pedro mbona ukabaji wake ni kama wa fab tu .........
kwa sasa mabeki tulionao wanatosha kumaliza hii season,...ukizingatia January market ipo very crazy .... pia tuna mabeki young & very promisin...zouma, Aina christensen....tukisajili tutaua potential zao...mbona hujataja beki...
Batshuay hata akipewa nafasi amepoteza kujiaminiPedro na Fab wanacheza nafasi mbili tofauti, Fab anatakiwa akabe sana na kupeleka mipira mbele. Pedro yeye kwa mfumo huu ni kufunga tu kukaba ni kidogo sana. Sema Conte anamjaribisha mchezaji mara moja tu asipodeliver anaachana nae. Kumuweka Bench Batshuay inanikera sana
Mabeki wanatakiwa tena wawili wa maana beki namba 2 na beki namba 5 wenye uwezo mkubwakwa sasa mabeki tulionao wanatosha kumaliza hii season,...ukizingatia January market ipo very crazy .... pia tuna mabeki young & very promisin...zouma, Aina christensen....tukisajili tutaua potential zao...
kile kipigo cha 4 oclock kimemchanganya ndio maana anajiropokea!mkuu fagason kafanyaje eb nijuze
kwa msimu huu nahisi..hatutasajili beki mwingine..sabab wale tunaowahitaji clubs zao hazipo tayari kuwaachia...! nahisi tutakomaa na hawa tulionaoMabeki wanatakiwa tena wawili wa maana beki namba 2 na beki namba 5 wenye uwezo mkubwa
Huwezi kuniambia umtegemee aina na zouma au ivanovic na tery
Bila kusahau kusajili mshambuliaji 1 wa kumsaidia costa maana batshuay hampi changamoto costa
Looking forward kumuona Zuma akirejea although usajili wa keane utasaidia kwa replacement ya captain Terrykwa msimu huu nahisi..hatutasajili beki mwingine..sabab wale tunaowahitaji clubs zao hazipo tayari kuwaachia...! nahisi tutakomaa na hawa tulionao
kuna madogo ambao wapo ready kupambana...kwa mfano...choloabah, loftus check.. mentally+ physically wapo vizuri...sasa ukisajili hovyo hovyo unaweza kuwa discourage... sijasema tusisajili...nah! tusajili very technical....ila kwa mimi mawazo yangu sidhani kama tunahitaji beki wala striker kwa hii season...hawa tulionao ukijumlisha na yule dogo toka league ya uholanzi wanatosha! tunahitaja Central midfielder badly...mbadala wa cante akiumia...only that...Mikel hafit kwenye system ya conteThis is football huwezi kutegemea chipukizi wakufikishe mbali nunua wachezaji wenye vipaji wakupe kile unachoitaji
Barca wenyewe sasa hivi wananunua majembe kutoka nje ya acadimic yao
hiyo nahisi ni plan ya msimu ujao...Mabeki wanatakiwa tena wawili wa maana beki namba 2 na beki namba 5 wenye uwezo mkubwa
Huwezi kuniambia umtegemee aina na zouma au ivanovic na tery
Bila kusahau kusajili mshambuliaji 1 wa kumsaidia costa maana batshuay hampi changamoto costa
hizo game angalia alipangwa na wachezaji gani!" ..... ni sawa tu na game y westham kuwanyooshea baadhi y wachezaji kua hawakuperform wakati timu aliyoipanga sio, hat angepangwa messi bado tungefungwa ............fuatilia vizuri games 3 fab alizoanza, hamna clean sheet..! hiyo fact tosha
nachojua hiyo nafas anayocheza pedro now hat fab anaweza kucheza tena vizur zaid kuliko pedro ...........Pedro na Fab wanacheza nafasi mbili tofauti, Fab anatakiwa akabe sana na kupeleka mipira mbele. Pedro yeye kwa mfumo huu ni kufunga tu kukaba ni kidogo sana. Sema Conte anamjaribisha mchezaji mara moja tu asipodeliver anaachana nae. Kumuweka Bench Batshuay inanikera sana
Pedro na Fab wanacheza nafasi mbili tofauti, Fab anatakiwa akabe sana na kupeleka mipira mbele. Pedro yeye kwa mfumo huu ni kufunga tu kukaba ni kidogo sana. Sema Conte anamjaribisha mchezaji mara moja tu asipodeliver anaachana nae. Kumuweka Bench Batshuay inanikera sana
fuatilia vizuri games 3 fab alizoanza, hamna clean sheet..! hiyo fact tosha
kwa sasa mabeki tulionao wanatosha kumaliza hii season,...ukizingatia January market ipo very crazy .... pia tuna mabeki young & very promisin...zouma, Aina christensen....tukisajili tutaua potential zao...
kuna madogo ambao wapo ready kupambana...kwa mfano...choloabah, loftus check.. mentally+ physically wapo vizuri...sasa ukisajili hovyo hovyo unaweza kuwa discourage... sijasema tusisajili...nah! tusajili very technical....ila kwa mimi mawazo yangu sidhani kama tunahitaji beki wala striker kwa hii season...hawa tulionao ukijumlisha na yule dogo toka league ya uholanzi wanatosha! tunahitaja Central midfielder badly...mbadala wa cante akiumia...only that...Mikel hafit kwenye system ya conte
nachojua hiyo nafas anayocheza pedro now hat fab anaweza kucheza tena vizur zaid kuliko pedro ...........
Mkuu ile nafasi ipo pembeni mwa mshambuliaji, mchezaji lazima atokee pembeni kidogo, sio sana kwa sababu ya wale wing-backs (Moses na Alonso). Sasa Fabregas ile itamtesa sana na ukizingatia hana mbio za kufanya mashambulizi ya kushtukiza (counter attacks).
Fabregas ni mzuri sana akitokea nyuma ya mshambuliaji, eneo hilo mara nyingi huwa haliitaji mtu wakukimbia kimbia zaidi ya kupokea mpira kutoka kwa kiungo mwingine au mabeki na kupeleka kwa mbele...
Ila pia ni sahihi alichosema ENZO, nafasi anayocheza Pedro hata Fab anaweza kucheza. Ikubwa ni ku-balance weakness. Ana strength zaidi kwenye kutoa pasi za mwisho so unaweza sema Matic abaki nyuma na kante...Fab acheze kati na kulia...inawezekana pia!
Batshuayi abaki bench tu..hana changamoto yoyote in my view!
Fabregas bado ana-something to offer. Kama aliweza kumchezesha Oscar game tatu/nne kwa kumjaribisha basi sioni akishindwa kumpa Fab more game time[/clor] nafasi ya Matic tuone akishindwa.
siyo kwamba simkubali fab...lakin tukienda kwenye ukweli fab hafit kwenye system ya conte....akicheza fab mara nyingi timu inakuwa haiko balanced..sana tukishambuliwa, tukishambulia okay....fuatilia clips mentorBatshuayi abaki bench tu..hana changamoto yoyote in my view!
Fabregas bado ana-something to offer. Kama aliweza kumchezesha Oscar game tatu/nne kwa kumjaribisha basi sioni akishindwa kumpa Fab more game time nafasi ya Matic tuone akishindwa.
Kwani Fab ni kipa? Mechi zote tatu ambazo hatuna clean sheet (alizocheza Fab)...Cahill alikuwa beki na mbili kati ya hizo magoli yalitokea kwake...Fab angefanyaje hapo!???
Sawa kwa January unaweza sema hatuwezi (sio hatuhitaji) kununua. Ila kwa tunakoelekea msimu ujao...huwezi mtoa say Azpilicueta ukamuingiza Aina na akacheza with the same intensity. Hapo beki pekee mwenye future ni Zouma ambaye naye kwa 3-4-3 namuona kama a bit too slow (au labda ni kwakuwa ndo anarejea from majeruhi).
Ni muhimu kusajili msimu ujao...beki mbili za ziada ndo tubaki na hao watoto (iva na Terry usiwahesabia kwenye orodha yetu).
Kwenye list yako nadhani Chalobah pekee ndo yuko fit. RLC alipewa sifa kabla hajaonesha uwezo, naona kiwango chake sio. Labda aende mkopo next season apate more game time.
Madogo wenye future nzuri bahati mbaya wengi ni strikers - Solanke, Tammy Abraham na B. Traore - ila itafahamuka.
This season tuna striker mmoja tu - Diego Costa - huyo Batshuayi arudishwe alikotoka (return to sender).
Dogo wa Uholanzi? ni nani? Nathan Ake?