eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Nachofurahi jana nilitoa prediction yangu na ikazaa matunda
Southampton 0
Chelsea 2
hao boro wanakaa golini timu nzimaMh! Kila siku afadhali ya jana...hii fixture ya November mbona kali kuliko tulikotoka!???
- Everton
- Middlesbrough
- Tottenham
- Manchester City
-
Nimeangalia mechi yenu vs Southampton, honestly ilikuwa perfomance ya uhakika. Timu yeni ikicheza vile ubingwa unapatikana.Mh! Kila siku afadhali ya jana...hii fixture ya November mbona kali kuliko tulikotoka!???
- Everton
- Middlesbrough
- Tottenham
- Manchester City
-
Muhindi nilimkula hela maana nilibet ushindi everton na chelseaha ha ha ha ha Hongera Mkuu, ulibet jana au ni prediction ya hapa hapa jukwaan tu
Mkuu kwakweli beki Alonso anakuja vizuri, simpendi mchezaji anayeitwa Ivanovic basi tuNimeangalia mechi yenu vs Southampton, honestly ilikuwa perfomance ya uhakika. Timu yeni ikicheza vile ubingwa unapatikana.
Wapo walio nnje anachotakiwa conte ni kuwaingiza katika huu mfumo wake wa 3-4-3 kama willian kiungo huyu mshambuliajiTimu imekolea ila tuombe Mungu tusipate majeruhi kwa beki yeyote yule maana hatuna wa akiba,yaani hatuna mbadala wa beki yeyote yule atakayefit kwenye mfumo wa Conte
mkuu fagason kafanyaje eb nijuzeIla nina hasira na fergusson...can't wait to prove him wrong, yani huko alikoenda ni too much kapitiliza mipaka yake...
Sahihi kabisa mkuu,Nimeangalia mechi yenu vs Southampton, honestly ilikuwa perfomance ya uhakika. Timu yeni ikicheza vile ubingwa unapatikana.
Unajua Pedro amezoia sana zile za Barca 'nipe nikupenyezee' na kama utakumbuka mwaka jana aliekuwa anaweza kucheza nae hivyo ni Fabregas.....sasa inakuwa ngumu sana pale anapotegemea apenyezewe pasi halafu hapati.
Ila kidogo, kidogo Hazard anajaribu kupenyeza ingawa accuracy yake bado.
October results
Hully city 0 - 2 Chelsea
Chelsea 3 - 0 Leicester city
Chelsea 4 - 0 Manchester utd
West Ham 2 - 1 Chelsea
Southampton 0 - 2 Chelsea
Mi nnachotaka kukuambia tu usijali mkuu Mentor taratibu tu game baada ya game tutafika
Nachofurahi jana nilitoa prediction yangu na ikazaa matunda
Southampton 0
Chelsea 2
Napenda pia kumpongeza conte kwa kubadili mfumo hii imetusaidia mno
Ila naona wachezaji kama willian tery na ivanovich inabidi wajifunze sana kuingia katika huu mfumo
Nimeangalia mechi yenu vs Southampton, honestly ilikuwa perfomance ya uhakika. Timu yeni ikicheza vile ubingwa unapatikana.
mkuu fagason kafanyaje eb nijuze
Hapana bado kuna haja ya wao kucheza kama timu. Nimeangalia hata mechi na Man utd...bado pedro hapewi pasi za kutosha sana sana from beki ila hiyo mid na forward wenzake wanampunja sana pasi...
Umetaja Fab ukanitonesha kidonda...sijui hata akija anacheza wapi...kwa Matic labda???!
That is the spirit...one game at a time. Halafu wamnyime Conte kocha bora wa mwezi!