Hongera kwa kurudi kundini nitafutie na @b5click mwambie nimemmiss sana !! Kama yupo kwa jina lingine ajitambulishe. ........Hongereni sana wana-blues wenzangu kwa kumpiga huyu Mourinho na timu yake, sasa tunahamishia kazi Jumatano kwa West Ham....
Mimi hujanimiss[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Hongera kwa kurudi kundini nitafutie na @b5click mwambie nimemmiss sana !! Kama yupo kwa jina lingine ajitambulishe. ........
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] nimekununiaaaaa [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] ,njooo unibembelezeeeee....Mimi hujanimiss[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Sawa tuuuuu.....
My cute b njoo huku umuone bimkubwa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaha haki ya nani Leo ninahamu ya kuoga nje......[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] nimekununiaaaaa [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] ,njooo unibembelezeeeee....
Njooo ukichunguliwa simoooooo.......[emoji3]Hahahaha haki ya nani Leo ninahamu ya kuoga nje......
Ukiwa unaoga nje unakua na wasiwasi Wa kuchunguliwa na watu....
Kwa furaha ya kumfunga Baba Leo naoga nje mchana peupe....
Jamani usininunie wangu mie Everlenk yerewiiiii......[emoji182]
Hahahaha kupatwa kwa Mourinho jamani hadi raha watu tunamwaga radhi.....Njooo ukichunguliwa simoooooo.......[emoji3]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] poa bana na Hili nalo linapita.Hahahaha kupatwa kwa Mourinho jamani hadi raha watu tunamwaga radhi.....
Mourinho bhana Jana kaulizwa swali na mwandishi Wa hbr juu ya maamuzi ya refa kwa kumpa kadi ya njano Luiz akaulizwa ile ilikua sahihi?
Kwakwakwakwa kwaaaaah [emoji12] baba Mou akajabu "I prifer not to speak about that" because I know if speak about that it will be problem for me " I prifer not to speak...
Huku sura ikiwa imejikunja kweli Mourinho ni handsome ata akiwa kachukia[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12]
Njoo tuonge nje kwa raha zetu
dada za siku tele[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] nimekununiaaaaa [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] ,njooo unibembelezeeeee....
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] poa bana na Hili nalo linapita.
Jamaniii[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24],(tears of joy siyo kipigo cha jana [emoji3]) njema sana Habari za wewe??.......nafurahi sana kukuona jamani kushinda kuzuri sana kumekuibua Hata wewe!!!!dada za siku tele
Man U hatujinyongi Hata siku moja hii editing ya Kina Arsenane.
Man U waliongoza kila kitu isipokuwa magoli ya kufunga!
Man
Man U waliongoza kila kitu isipokuwa magoli ya kufunga!
There you are!And they prove statistics are nothing without scoring goals
There you are!
Kumbuka pia Chelsea huibamiza Barca yenye ball possession zaidi ya 80%!