Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #33,401
Kwanza kabisa hebu nikaribisheni manake ndo kwanza nabisha hodi humu , mimi mnazi wa chelsea hatari!
ILA KITENDO CHA DIEGO COSTA KUONESHA ISHARA APEWE PUMZIKO NA CONTE BADO SIJALIELEWA MANAKE HAPO MMOJAWAPO AKIJAA SUMU HUENDA TIMU IKASAMBARATIKA KIUSHIRIKIANO.
Ahsante mkuu, ni kweli Kocha ameonesha hakuna mwenye maamuzi ya mwisho zaidi yake , nimeelewa jibu la swali langu tupo pamoja wakuu KTBFFHKaribu sana mdau huku ndo nyumbani kwetu......
kutokana na swali lako mkuu Mentor amekujibu vizuri tu. Kocha lazima aonyeshe yeye ndo mwenye maamuzi kwenye timu na yupo teyari kuchukua hatari zote kwa ajili ya timu. Japo Costa hakufanya kwa malengo mabaya
On paper you are good but on reality you are nothing special, hazard peke yake ndio nam admire the rest wanazuilika 100%
Naziona goli za pogbackk, school boy, and the old man kadabra.
And who is alonso by the way??? (Serious Qn) what is special about him???
All of your backline are headless chicken (apart from azipilicueta).
HAHAAA kaka chelsea ya mou ndio huwa inatusumbua sana lakini hii ya conte sina papara nayo kabisa shaw, blind, bailly na valencia wanatosha kabisaa kuwaficha hao akina coshta, hazard na willian,
kuna kale katoto kashule rashford kakiongozwa na babu yake zlatan wakisaidiana na kaka yake wakufikia tony martial sioni kabisa beki wakuwazuia labda angekuwepo zouma.
mkuu Nonda hawezi akawa upande wa special one HAHAHAAA jamaa anamchukia mourinho huyu dah
HAHAAA pogba hatacheza peke yake mkuu, kuna kale ka spanish midfielder kenye udambwi udambwi mwiiingi wala huwa hakatumii nguvu nyingi zaidi ya akili tu ndio katasaidiana na huyu miguu mirefuMkuu herrera nimependa sana kujiamini kwako na kuchanganua mambo kwa mchezaji mmoja mmoja, ila kumbuka chelsea haichezi kutumia mchezaji mmoja mmoja ila timu nzima kama kocha asemavyo "we win together we loose together". inawezekana mchezaji wamuogopa Hazard na kumsifu Azpilicueta. Na timu je? Huyo Pogba akikutana na mtu mbili pale kati Matic na Kante sijui ka atafurukuta...
Na jumatatu sisi tutakuwa karibu sana kuangalia mchezo wenu maana kocha kashaanza kumtupia maneno refa.
Mourinho ni mpwa wangu,nitamchukiaje?HAHAAA kaka chelsea ya mou ndio huwa inatusumbua sana lakini hii ya conte sina papara nayo kabisa shaw, blind, bailly na valencia wanatosha kabisaa kuwaficha hao akina coshta, hazard na willian,
kuna kale katoto kashule rashford kakiongozwa na babu yake zlatan wakisaidiana na kaka yake wakufikia tony martial sioni kabisa beki wakuwazuia labda angekuwepo zouma.
mkuu Nonda hawezi akawa upande wa special one HAHAHAAA jamaa anamchukia mourinho huyu dah
Ninavyoelewa ni kuwa Moureen ana hasira kwa Chelsea kama dokta Eva alivyo na hasira kwa Mou. Na Mou amepata nafasi ya kuja daraja bovu kujaribu kujidhihirisha kwamba yeye ni "the happy one, the special one". Zigo zito atalibeba Conte na baada ya dakika 90 ndio tutaelewa nani "amemjaribu" mwenziwe, Mtu zingine hazijaribiwi.
Nimefurahi sana kwa kunijulisha kwamba michango yangu unaifuatilia kwa makini na inakufikirisha sana. Ni matumaini yangu kwamba michango yangu haikukoseshi usingizi au kuamsha mihemko na hisia kali kwa kumkichwa na moyoni....alitaka kutoka ili asipate kadi ya njano (ambayo ingekuwa ya tano) ashindwe kucheza mechi jumapili ijayo dhidi ya Man UTD. Hakufanya kwa ubaya ila nimempenda kocha kwa kumpuuza maana ukianza kumsikiliza kila mchezaji uwanjani utashindwa kuongoza timu! Hakufanya out of dharau but out of passion!!!! Pundits wameikuza negatively tu...kina Nonda na nduuze.
Naona conte anakuja na mfumo 3-4-3 ameshinda dhid ya hull city na leicester
CAHILL LEO AMEKUWA SO COMPOSED SIJUI NI KWA SABABU YA KAZI NZURI YA NGOLO NA MATIC??? KACHEZA VIZURI KWA LEO NIMPE SIFA YAKE...
big up chelsea, hivi kwa nn watu hawaipi nafasi chelsea kutwaa ubingwa ? mbona mimi naona wanacheza vizuri na tofauti ya point ni ndogo
Ni kweli mkuu watu wanawapa Man city zaidi ubingwa kutokana na wachezaji walionao na Kocha wao (Guadiola) ambaye amekuwa na mafanikio kule Barcelona na Bayern Munich.
Ila kweli ni kwamba kuna timu 6, Chelsea, Manchester Utd, Manchester city, Totenham Hotspurs, Arsenal na Liverpool yeyote kutokana na makosa ya wengine wanaweza kuchukua ubigwa.
Japo kwa sasa ni mapema kusema ila kila timu imeshaona ugumu wa ligi ya msimu huu.
Emenalo out
Anakuja mwingine na huyu ni mkurugenzi wa ufundi wa AC roma
First that's just a rumor. Secondly emenalo is abramovic friend so he womt go, third i read in daily mail that even if sebbatini will come at Chelsea, it will be a different role and emenalo will still be there... Oh and there is no AC Roma. It's as romaduh hii breaking news nzuri huyu jamaa nahisi ndo alikuwa tatizo pale chelsea...sijui..ila nahisi..sasa Mikel naona akiondoka kama si January basi Summer!!!
Haya ni maombi ya conte kua hamuitaji tena emenaloduh hii breaking news nzuri huyu jamaa nahisi ndo alikuwa tatizo pale chelsea...sijui..ila nahisi..sasa Mikel naona akiondoka kama si January basi Summer!!!
Ila Conte ni tatizo