Mkuu tulia kwanza, mechi mbili tu......inatakiwa akae kama mechi 5 ili akiingia uwanjani aweze kuwajibika ipasavyo, unajua Fabrigas ni mzembe sana siku hizi.
Akipokonywa mpira wala ashughuliki kupokonya mpira wengine. Kwanza hawawezi kucheza wote 23 at the same time.
Hivi unaangaliaga mpira kweli??! hivi Pedro na fab nani anakaba zaidi? .............
halafu usijibu! post kama mtoto wa kike" utaolewa shauri yako!" nani kasema anataka wacheze wote 23"
halafu usijibu! post kama mtoto wa kike" utaolewa shauri yako!" nani kasema anataka wacheze wote 23"
tena amekuwa mzito kukimbia, kanenepa kawa kibonge na akipokonywa mpira hakabi.Mkuu mechi naangalia sana, kwani Pedro na Fab wanacheza position sawa? ndiyo maana nikasema kwa mechi 10 za karibuni alizocheza Fab amekua mzembe sana na mbaya zaidi hakuweza kujituma uwanjani.
na ww kitulize.Enzo jifunze heshima japo kidogo mkuu
kwa hiyo kutocheza position sawa ndio haifai kuwalinganisha wanavyokaba, wote kw pa1 wanatakiwa wautafute ............Mkuu mechi naangalia sana, kwani Pedro na Fab wanacheza position sawa? ndiyo maana nikasema kwa mechi 10 za karibuni alizocheza Fab amekua mzembe sana na mbaya zaidi hakuweza kujituma uwanjani.