The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,396
- 103,821
Unauliza swali? Una shangaa? Au huamini?Kwenye position yenu..!?
Unauliza swali? Una shangaa? Au huamini?Kwenye position yenu..!?
Unauliza swali? Una shangaa? Au huamini?
Vyote..!Unauliza swali? Una shangaa? Au huamini?
Kiukweli fab ana match zake sio kila match tunamuhitaji fabMtu anayemjulia kuchezesha Costa ni faby
Nadhani suala la kutrack back na kukaba pale team ikiwa inashambuliwa ndio tatizo. Matic anaweza kupanda na kushuka fastaHuyu kocha nae analeta ujinga ujinga
Hivi Fab kamkosea kitu gani?