Man United,Liverpool zimekuwa nyanya lakini Man City,Spurs wameimprove recently lini umesikia AC Milan au Inter wamecheza michuano ya Ulaya .Maxi Allegri alipata tabu Milan ameenda Juventus ameshinda double (Serie A+Coppa Italia) back to back .Antonio Conte ni moja ya makocha bora vijana na ndio mara ya kwanza atafundisha nje ya Italy EPL ya siku hizi imekuwa ngumu mno,kazi haitakuwa rahisi kama unavyofikiriAcha kukariri na vp khs team kongwe pake EPL km liverpool, man untd mbona nazo zmeshakuwa nyanya?
Kuhusu Conte na kwa kuangalia mechi ya juzi tuu, anaonekana ni kocha mzuri sana kutokana na team ya Italy kuwa na mchezo wa kuvutia.
Msimu ujao Chelsea The Blueees itakuwa na mchezo wa kuvutia sana according to Conte philosophy ya mchezo uwanjan.
NAOMBA NIWASILISHE
Asante kwa kunielewa na inajulikana kazi ni kazi hakuna kaz rahisMan United,Liverpool zimekuwa nyanya lakini Man City,Spurs wameimprove recently lini umesikia AC Milan au Inter wamecheza michuano ya Ulaya .Maxi Allegri alipata tabu Milan ameenda Juventus ameshinda double (Serie A+Coppa Italia) back to back .Antonio Conte ni moja ya makocha bora vijana na ndio mara ya kwanza atafundisha nje ya Italy EPL ya siku hizi imekuwa ngumu mno,kazi haitakuwa rahisi kama unavyofikiri
Conte ni kocha mzuri sana, wasi wasi wangu ni kama ataweza ku addopt ligi ya england mapema au nae atahitaji muda, Chelsea wanakikosi kizuri kinachohitaji marekebisho madogo tu na ile winning mentalityMan United,Liverpool zimekuwa nyanya lakini Man City,Spurs wameimprove recently lini umesikia AC Milan au Inter wamecheza michuano ya Ulaya .Maxi Allegri alipata tabu Milan ameenda Juventus ameshinda double (Serie A+Coppa Italia) back to back .Antonio Conte ni moja ya makocha bora vijana na ndio mara ya kwanza atafundisha nje ya Italy EPL ya siku hizi imekuwa ngumu mno,kazi haitakuwa rahisi kama unavyofikiri
Anapenda kutengeneza teamwork ,wachezaji kama Hazard wasipokomaa atawauzaConte ni kocha kwa kweli , Hazard Madrid wakifika bei aende tu
Hapana mkuu hazadi hatakiwi kuondokaConte ni kocha kwa kweli , Hazard Madrid wakifika bei aende tu
Conte mwenyewe alisha sema hazard anamuhitaji kujenga kikosi japo anaonywa aache uvivuHapana mkuu hazadi hatakiwi kuondoka
Ni Dec 31 na jan 2December 31 3pm Stoke City (H)
January 1 3pm Tottenham Hotspur (A)
Mbona kama sijaelewa...
http://ec.tynt.com/b/rf?id=bBOTTqvd0r3Pooab7jrHcU&u=DailyMail
Yani December 31 na January 1 tuna mechi!???
huyu mzee ni balaaMnamuona Bwana Antonio Conte lakini ,mm sitii neno
Huyu Bwana Mipango , atatufikisha sehemu msimu ujaohuyu mzee ni balaa