Yani unamfukuza Mourinho then unampa timu Hiddink ?Huyu jamaa ni kocha mzuri sn Nina mwamini na uwezo wa kujenga timu na kua pamoja hicho ni kitu kibwa anacho. Kwa Chelsea ilivyokua tulikua na hari mbaya sn lkn sasaivi timu imekua pamoja na iko vzr
Umetisha!!!!!!!!Yani unamfukuza Mourinho then unampa timu Hiddink ?
Naafya itakuwa njemaAsante the blues march ikiisha afya yangu naona ikirudi nilikonda sana jamani
Hiddink anafaa kwa mtazamo wanguYani unamfukuza Mourinho then unampa timu Hiddink ?
Hiddink anafaa kwa mtazamo wangu
Conte bila shaka.... Kuna ripoti inasema Abramovich alienda training ground na kuwaambia wachezaji kuwa amemsainisha Conte..... So bado kumtangaza tu.Kati ya diego simeone au antonio conte atakua kocha mpya wa chelsea next season
Hiddink toka alipodraw na Watford baaasi nikaona asipewe timu
Na timu yetu hii inajijua yenyewe kifupi inaendeshwa na mood za wachezaji siku wakijisikia wanacheza poa
Labda tuseme ktk mechi ya marudiano na PSG mnapendekeza Matic na Obi wasisimame pamoja?Mimi kila akiwaweka Matic na Mikel pamoja huwa nakasirika sana...na ndipo nnapojua hafai kuwa kocha wetu wa mda mrefu!
Teeehe teeeeeheJana kunguru kumnyea binadamu, naona kelele nyingiiii .............. tunakimbiza mwizi kimya kimya.
yaani mgonjwa kunywa uji naona mnataka kufanya sherehe.........Jana kunguru kumnyea binadamu, naona kelele nyingiiii .............. tunakimbiza mwizi kimya kimya.
Labda tuseme ktk mechi ya marudiano na PSG mnapendekeza Matic na Obi wasisimame pamoja?
yaani mgonjwa kunywa uji naona mnataka kufanya sherehe.........
We have only 6 wins out of 18 games and still on top of a team which has lost one game in 15 matches! [HASHTAG]#amazing[/HASHTAG]We v gone close to 15 games with just one loss. Bado unadiriki kusema mgonjwa kanywa uji???! [HASHTAG]#shtuka[/HASHTAG]