Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,184
- 3,421
Hapo kama hataki ni sawa, ila kikosi cha chelsea kinaitaji kocha mtulivu kama huyo Hiddink au Ancelot kwa sababu wana uwezo mkubwa wa kumanage wachezaji na kwenye vyumba kubadilishia jeziHuyo si alikua wa muda hidink mwenyewe hataki kua kocha wa kudumu
Wachezaji wakikugomea hata awe kocha wa aina gani atafukuzwa tu ancelot alifukuzwa pia akaondokaHapo kama hataki ni sawa, ila kikosi cha chelsea kinaitaji kocha mtulivu kama huyo Hiddink au Ancelot kwa sababu wana uwezo mkubwa wa kumanage wachezaji na kwenye vyumba kubadilishia jezi
Leo unajifanya haunijui??????Kumbe huwa unapatikana humu?
Ulikimbia kambi......Leo unajifanya haunijui??????
tuna philosophy yetu, akija tutamwambia plan zetu, tunataka aendeleze vipaji vya madogo kama traore, Ruben nk, Diego yupo vizuri kwa hayoDiego si kocha mzuri
Zaidi atakuja kaba tu
Ngoja niende likizo kidogo na Chelsea
Chelsea leo kifo."Chelseafc: Chelsea FC team: Courtois; Azpilicueta, Cahill, Ivanovic (c), Baba Rahman; Fabregas, Mikel; Pedro, Willian, Hazard; Diego Costa. #PSGCHE"
Kama wewe ni shabiki wa Chelsea bora Game usiiangalie maana hautapata usingizi, leo ni kifo kwa Chelsea.wakuu nipo kijijini naomben mwenye link ya livestrim
Chelsea lazima akatike Leo.Chelsea leo kifo.
mkuu acha papara, andika vizuri ushindi wetu leoGood bless my time