Wanaombea kweli tufungwe leo...Tukifungwa tu nao wataanza kuibuka toka chimbo,utawaona tu
heehehehehe, anakula pweza! ngoja ije game ya ARSNL, atakuwa hewani!Pls Masanilo usijiOmondi.Toa comment tuone mapigo yako ya moyo.
unajua nilishangaa Ballack alivyo mrukia Tevez, kha! Nilidhani anacheza karate! shame on him!Walie tu leo vijana wameonywa vikali kwamba mechi zote zilizobaki lazima wacheze kama Arsenal players siyo vikatuni flani kama vya darajani ambavyo havina hata ustaarabu kazi ni umafia tu. Wizi wa bidhaa madukani, uuzaji wa bangi na unga sasa wamekimbilia kwenda kuiba wake za watu Chelsick sio timu bana Umafia tu kuanzia kwa Abraham o vich mwenyewe..
Hao wawili ulo wasahau ni Manda na DE NOVO
nashkuru niko kwenye radar hata kama ni ya yule chenge!!! mie ni liverpool damu na leo nimeshngilia chelsea kumbe wapi, ni viazi ya kuchoma tu!!Hao wawili ulo wasahau ni Manda na DE NOVO
Leo tumepigwa bao na Tevez kama tuko Mirembe hatujielewi. Hata nywele rojo na binamu wake Anelka hawakufua dafu!
Sijuie Essien yuko wapi au Maluda ndio kalalamika na Essien kawkwa mkeka?
Hilario angekuwa mtaa wa Twiga au Msimbazi, leo angelala Central!
Binafsi ukimuondoa Cech, nafikiri Claudio Cudicini alikuwa bora!
heehehehehe, anakula pweza! ngoja ije game ya ARSNL, atakuwa hewani!
Nipo ndugu yangu, yaani kila kitu kimekwenda hovyo jana, tumefungwa na wireless ninayotumia imepotea tangu Ijumaa kwenye maeneo ya nyumbani, nimelazimika kwenda ofisini kwa ajili ya Internet! Anyway, jana tumefungwa kwa sababu ya makosa ya kijinga sana, hakuna wa kumlaumu, hatukucheza vizuri kipindi cha pili. Hilario ni problem, anafungwa magoli ya kizembe sana. Sijui kwanini Ancelotti asimpige bench Terry kwa muda maana naona issue yake ya nje ya uwanja imeanza kumsumbua sana, tangu mechi ya Everton amekuwa mbovu kupita kiasi.Jamani hivi Masanilo,Peasant na Mvina ndo kusema wametokomea kabisa ama ndo wameamua kuwa guests wa JF moja kwa moja...Kweli kufungwa(hasa ukiwa na maneno mingi) kubaya sana jamani
Tunawapa Balantanda , Wacha1 na Arsene uanachama wa kudumu wa Chelsea!