BREAKING NEWS... FA imetoa sheria maalumu za kuinusuru chelsea isishuke daraja...
1) chelsea wameruhusiwa kucheza 12 wakiwa nyumbani na 15 wakiwa ugenini....
2) kama watapata kona 2 mfululizo hiyo itakuwa penati....
3) kila mechi wamepewa nafasi 13 za kufanya sub ili mambo yaende sawa....
4) ikitokea mchezaji wa chelsea amefanyiwa faulo watazawadiwa penalt hatakama faulo hiyo atachezewa kipa wa chelsea....
5) kocha jose morinho amepewa uhuru wa kutoa maelekezo mpaka ndani ya kiwanja wakati mechi inaendelea...
6) wakifunga goli wakiwa ugenini yatahesabika mawili.... Masharti hayo yalianza jumamosi lakini kwa masikitiko makubwa wakapoteza mechi kwa 1-0
yazamani! sana hii, umejiona bonge la mjanja kuiweka hapa, kumbe unaonekana ****** tu.
Hao watu wamepata tumbo la kipindupindu sio rahisi kupata muda wa kufanya usafi hapa JF. Watakapopata matokeo ya kuwasogeza hatua ingine ndio utawaona hapa, watakuwa wamepata nafuu. Sasa wako bizee kwa choo.ntuzu na wengine tupeni kikosi cha leo na hali ya mechi ipoje
Hao watu wamepata tumbo la kipindupindu sio rahisi kupata muda wa kufanya usafi hapa JF. Watakapopata matokeo ya kuwasogeza hatua ingine ndio utawaona hapa, watakuwa wamepata nafuu. Sasa wako bizee kwa choo.
Leo ni kichapo tu. Dynamo anaweza kuharibu furaha ya watu fulani leo.
braza mentor una moyo aisee.
Waoh hope mtatutoa kimasomaso to the end...
Nimewambieni msicheze mpira, huo hamjui. Yenu ni kujiangusha angusha tu ndio mnaweza na mbinu hii ndio inayowafaa. Na yele mhuni Costa ku-provoke wapinzani.unatamani iwe hivyo najua..wewe leo jiandae kuja kuandika umbea wako mara ooh mieleka..oooh ....
NtuzuSasa ulitaka ale kona?