Ulimpigia "kula"?
Tatizo la Chelsea ni kuishiwa na mbinu na ubunifu. Walizoea kucheza meieleka na rugby pia kujitupa tupa hovyo, kujirusha chini na kumzunguka mwamuzi. Hizi mbinu zimegundulika na waamuzi na timu pinzani. Chelsea wanajaribu kucheza mpira kwa sasa kitu ambacho si mazoea yao hili ndio tatizo kuu.Tatizo la chelsea kwa sasa ni nn zaidi
Ulimpigia "kula"?
Pia Ulipeleka familia vituoni kumpigia "kula"?
Kama jibu ni ndio, basi haibiwi mtu hapa!! Linda ushindi wako!
Kwenu ni mchambawima, makunduchi au mwanakwelekwere?
Pinda alishasema Zanzibar si nchi.
Kwikwete kwa kiherehere alisema Zanzibar ni nchi ndani lakini si nchi nje ya Tanzania.
Sawasawa! Zungusha zungusha, zungusha! Moureeennn, powerrrr,, Ze bluuuzzz, ziiiii! ze bluuzzz, Ziiiiiiii!
Usibanie, pakua picha dugu, tupate kuongeza furaha.
Tatizo la Chelsea ni kuishiwa na mbinu na ubunifu. Walizoea kucheza meieleka na rugby pia kujitupa tupa hovyo, kujirusha chini na kumzunguka mwamuzi. Hizi mbinu zimegundulika na waamuzi na timu pinzani. Chelsea wanajaribu kucheza mpira kwa sasa kitu ambacho si mazoea yao hili ndio tatizo kuu.
Tatizo la pili ni udomokaya, upayukaji na udaku wa Mourinho, vitu ambavyo vimemletea mgogoro na sintofahamu na vyombo vya habari na FA.
Tunaweza kwa kujiamini kabisa kusema Tatizo la Chelsea ni ukosefu wa 1.nidhamu, 2.mbinu mpya na 3. uweledi wa kutandaza kabumbu uwanjani.
poa poa mkuu. usiku mwema
Unadanganya bana. Kwenu ni darajabovu. yakheee..
Unadanganya bana. Kwenu ni darajabovu. yakheee..
Daraja lililovunjwa na majogoo leo bila huruma.
Nasubiria picha za ziada kama ulivyoahidi.
Mou kalia?? Kalia mchozi kabisa??
Ngoja nikatafute youtube ha ha ha
Mou anaogopa kupigwa faini. Msikilize hapa.Niambie Mkuu Nonda
Kule daraja bovu ni kwa ..(Mourinho).
Rudi bw ukatupe update ole wako uingie mitini kama majuzi mechi ya league cup