Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijaiangalia gemu ya Fiorentina na Bayern ila habari zinasema Ovrebo(mbaya wa Chelsi mwaka jana) ametimbanga vibaya huko nako kama kawa. He he he..
 
Mambo ya Ovrebro..

 


Broken beauty ... Cheryl stares into space as crocked dozing husband Ashley Cole is driven from hospital

khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


 



Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee Namtafuta aliyekuwa anasema huu ni udaku?
 
Wakuu,nimejaribu kukaa kimya kwa muda mrefu lakini nimeshindwa,ni kuhusu hii tabia ya kuweka na kujadili tabia za maisha binafsi ya wachezaji(mahusiano yao ya kimapenzi n.k),hivi inatusaidia nini hii?,mi nilijua lengo la hizi thread za vilabu vya EPL ni kutupa nafasi mashabiki wa vilabu vya EPL kujadili kile kinachoendelea kwa vilabu tuvipendavyo kwa yale yanayotokea uwanjani(katika EPL,UCL,FA Cup,Carling Cup n.k) badala ya kuyajadili yale yanayowatokea wachezaji wtu wakiwa majumbani mwao ama kwenye vilabu vya starehe

Ifikie kipindi tujitofautishe sisi na wapenda udaku(tuwe mashabiki wa mpira badala ya udaku),binafsi nakereka sana na hii tabia ya kila ukija unakutana na habari za mitaani za akina John Terry,Wayne Bridge,Ashley Cole,Sol Campbell,tuyjadili wachezaji hawa kwa yale wanayoyafanya uwanjani na si wanayoyafanya mitaani(hilo ndio lengo hasa la thread hizi maalum za vilabu vya EPL),hayo mambo ya udaku tuyaachie magazeti kama The Sun,yale ya Shigongo n.k...Inakera sana watu kukalia umbea umbea tu na udaku badala ya kujadili Soka
 

Binafsi sina tatizo na hilo khvo sana, coz personal life la wachezaji/kocha ni sehemu ya mchezo pia as much as huwa ina effect kwa mchezaji/wachezaji wenzake ktk timu. Ila on this saga la Cole/Terry naona tumefika mbali kdg wakubwa. We have been taking it so personally and to the extreme kiasi kwamba imepoteza kabisa maana ya hayo myasemayo. Imekuwa kama MIPASHO sasa, which isn't gud for the Jukwaa la wanasoka kama siye,lets leave those stuffs kwenye Udaku au blog nyingne lakini sio hapa.
At the end of the day tujue huu ni mpira tu ndugu zanguni, apart from being played under the philosophy of 'fair play' lakini mhimu zaidi upo kutuburudisha zaidi kuliko kutujengea chuki, jamani, wacheze Ulaya hukoooo sie huku tutoane ngeu kweli?, hapa hii HAIKUBAKILI...!
 
JF where we dare talk openly? Tuongelee role models wa Chelsick wanaouza unga na kutumia drugs na pesa ili washinde whatever the cost. Give me a break!

Nani anasema huu ni udaku? Wakati Tiger coverage inachukua more than one hour kwenye news kwa dunia nzima etc. Where are you guys living in the moon?
 
Hey Bala,
I appreciate your positive thinking and concern.
Message delivered to Wacha1/Wacha and Ng'wanza Madaso, hawa jamaa ni wadaku hakuna mfano!
 
Drogba kafunga bao la pili. 2-0 to Chelsea.
Kaka naona upo sambamba na vijana leo game yetu na vile manure amedondokea pale tulipodondoka nadhani hawakutia maji wakajisahau.
 
full-time 2-0 to Chelsea.
Zote tatu kibindoni hapa sasa inabidi vijana wasiende kunywa na kuibiana wake watulize mzuka dhidi ya Inter next week matokeo mazuri yatatusafishia njia game ya marudiano.
 
Zote tatu kibindoni hapa sasa inabidi vijana wasiende kunywa na kuibiana wake watulize mzuka dhidi ya Inter next week matokeo mazuri yatatusafishia njia game ya marudiano.

Mhhhhh greater thinker!
 
You won't know what hits you​




LISTEN UP, LADS ... Ancelotti lets the players know
the consequences of future bad behaviour

​
Poleni wakuu naona mwenye mali kachachamaa pamoja na umafia wenu Khe khe kheeeeeeeeee hata ushindi hauwi mnono.​
 


Huyu nae bana sijui kachomokea wapi? Masa ooops Kikojozi upo okoa jahazi basi peasant kaenda kulima amekuwa Invisible?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…