Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Eden Hazard: Has created more chances from open play (22) than any other player in Europe’s top 5 leagues this season #cfc
 
Best pass success in Europe’s top 5 leagues this term (100+ mins): Diarra 97.3%
Brouwers 96.7%
Terry 95.2%
T. Silva 94.8%
Christensen 94.4%
 
Diego Costa: Since receiving his last red card in December 2012 (vs Viktoria Plze&#328😉, Costa has missed 12 games due to suspension #cfc
 

Attachments

  • 1443266133274.jpg
    80.5 KB · Views: 100
Last edited by a moderator:
Huko Mjini City kalala 3 hadi sasa

The count down is going on.

Chelsea has lost 3 games and 1 draw.
Arsenal has lost 2 games and 1 draw.
Man City has just lost 2 games!

Man Utd?

Chelsea bado ana nafasi kubwa ya kua bingwa.

Wakaanga sumu hamna la kusema.
 
The count down is going on.

Chelsea has lost 3 games and 1 draw.
Arsenal has lost 2 games and 1 draw.
Man City has just lost 2 games!

Man Utd?

Chelsea bado ana nafasi kubwa ya kua bingwa.

Wakaanga sumu hamna la kusema.

Yeah City alikuwa katuzidi point 11 ila sasa zimeanza pungua taratiiibu...
Watashuka tu chini
MaN U kapoteza tayari
 
Yeah City alikuwa katuzidi point 11 ila sasa zimeanza pungua taratiiibu...
Watashuka tu chini
MaN U kapoteza tayari


Wakaanga sumu walisema Chelsea hawezi kua bingwa msimu huu.

Wakaanga sumu walisema Chelsea haitakuwepo ktk top four.....

Leo hii timu iliyoanza ligi kwa nguvu imepigwa kwa Mara ya pili!
 
Ntuzu
City kapigwa cha nne

Hahahahaaa

Kuna wachambuzi uchwara walikua wakiikosoa Chelsea kwa kucheza mechi tatu na kufungwa goli 7. Sasa city ktk mechi mbili za hivi karibuni kala goli 6!

Hahahaaa wakaanga sumu mupo?
 
Last edited by a moderator:
Yeah City alikuwa katuzidi point 11 ila sasa zimeanza pungua taratiiibu...
Watashuka tu chini
MaN U kapoteza tayari


Ushindwe na ulegeee hapo hapo usiinuke tena. .......Kwa Man U mtasubiri saaaaaaaanaaaaaaaaaa......#GGMU
 
[/Color]

Ushindwe na ulegeee hapo hapo usiinuke tena. .......Kwa Man U mtasubiri saaaaaaaanaaaaaaaaaa......#GGMU

Haya subiria uone Sunderland watavyowafanya...amini mnapigwa leo au drooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…