Je umesha-google na kujionea menyewe kuwa Mou hana ujasiri wa kuifundisha timu kwa miaka 5, 6, 7, 8, 9?
Mou anapita njia tu, miaka 2, 3 anapotea.
SINA HAJA YA KUANGALIA mech mbovu ya chelsea leo maana matokeo nishayajua.. CHELSEA O MACCABI 6... aibu nyingne kwa mourinho.. leo mourinho na ivanovic(wowowo) wanapigwa red card...

hizo sita atapigwa mama yako!' ............
Dogo kuhusisha wazazi siyo poa muattack yeye as yeye sindano ya nyuki , you know what am a mother too.......
watu mnavunja jungu😀😀😀
Kwa hiyo, unakiri kuwa Mou ana mguu mmoja nje na mguu mmoja ndani? Hana uhakika na kibarua chake?Sasa akae ktk timu miaka 10 hiyo timu imekuwa baba yake au Mama yake? Ata Lowassa aliona aachana na ccm chama kilichomlea
Leo Ze bluuzz ina uwezo wa kushinda. Lakini ingekuwa vyema usema Ze bluuzz inacheza na nani? Hiyo timu pinzani ina nafasi gani katika soka ya dunia hii?Mnaoitakia chelsea mabaya leo mtakaa kmya
Link https://en.wikipedia.org/wiki/Maccabi_Tel_Aviv_F.C.tulia hivyo hivyo usubiri macab wakitandikwa!' historia inajirudia timu pekee inayobakigi UEFA kutoka wingereza ............. manyua, man shity tayari wameshaonyesha njia kwa arse888!
Leo ni siku yako ya kufurahi, usiharibu furaha hiyo. Mmepewa maiti, muizike kwa heshima zote.Ilikua haina haja ya kutujulisha huo utumbo wako ungepita kimya tu na sindano zako za nyuki........
nimekuelewa mdada" na yeye alivyondika ivanovic wowo, dont forget ivanovic is a father too ............ by the way! siku mkienda EUROPA muwasalimie!'
Team to play Maccabi Tel Aviv (19:45 UK time):
Asmir Begović; Cesar Azpilicueta, Kurt Zouma, Gary Cahill (c), Baba Rahman; Loftus-Cheek, Cesc Fàbregas; Willian, Oscar, Eden Hazard; Remy.
Vipi leo kigodoro kinachezeka ? Au nilale tuu mapema?