Mimi tatizo nililoliona ni Chelsea kujaribu kucheza mpira. Nimezoea kuona Chelsea wakifanya uhuni wa kujiangusha angusha na kumlalamikia mwamuzi, kumzunguka mwamuzi na kutumia maguvu kama wanacheza mieleka. Kwa hiyo ni bora warudie mieleka tu na maigizo mengineyo na sio kujaribu kutandaza mpira mwanana. Jana pia walipunguza ku-park lile basi. Hayo ndio matatizo niliyoyaona mimi. Niseme tu kuwa nilifurahi kwa Timu ninayoishabikia kushinda kiustadi na kiufundi na iliweza kuisambaratisha Ze Buluuziiii.
Jamani hujaona? Nimekupa pole bhanaaaaa
nilikua sijaona!' pole na wewe ............. natanguliza polee zangu mapemaa.
Kalou katika ubora wake.
Dugu yangu Ntuzu ameacha kuchambua soka sasa ameingia katika kundi la walalamikaji tu. KIchapo sio mchezo. Huwezi amini kuna shabikiz za msimu za Buluuzzz zinataka Mou out.hahahaha kwisha habari yao
Dugu yangu Ntuzu ameacha kuchambua soka sasa ameingia katika kundi la walalamikaji tu. KIchapo sio mchezo. Huwezi amini kuna shabikiz za msimu za Buluuzzz zinataka Mou out.
Pogba atatufaa sana
Kama ingwzekana tuuze hazard tununue ox chamberlain pia fabrgas kachoka nafikiri ramsey angetusaidia sana
Pogba atatufaa sana
Kama ingwzekana tuuze hazard tununue ox chamberlain pia fabrgas kachoka nafikiri ramsey angetusaidia sana
City hawezi kuchukua ubingwa ktk mzunguko Wa kwanza!
Kuna mchezaji Wa kusajiliwa kutoka arsenal kwenda Chelsea kweli jaman?
Ntuzu,City hawezi kuchukua ubingwa ktk mzunguko Wa kwanza!
tukiacha ushabiki mimi ni mpnz wa chelsea ila sanchez,chamberlain ni bora kuliko hazard
ramsey,de brune,cotinho,mata,carzola,silva ni zaidi ya fabrigas