Kwendraaaaaaa weweeeeeeeee. Si ulete Ata hayo matokeo yako unayojua wewe? Unachoshindwa kitu gani?
Mambo poa kabisa, sijui wewe? Mimi nilikuwa napita zangu nikafurahishwa na jibu lako nikajisemea like wife like hubby....lol
Buahahahahahahaaaaaaaaaa, nitakuleteaje matokeo mtu ambae ujui ata matokeo ya timu yako, Katika lig hipi iyo chelsea alishinda 2 - 0 na spurs pale darajani msimu uliopita, a a a a a a a a
Yalete yalete.......
Naona safari Morinyo anagombana na kinamama tu
Bado atagombana na LvG subirini tu.
binafsi ni shabiki wa kile kidada..moo hakuwa right kuwabwatukia publicaly lakini kosa alilofanya yule doctor wenzake walikuwa kimya yeye alikiuka maadili ya kaz kwa kupost fb kuwashukuru fans kwa support yao kwake kuhusiana na lile tukio
Mentor usinichekeshe utamuona wapi wakati keshaaga kabisa, japo si fan wa Chelsea but nimesikitika sana.....
Kwa kweli hata mimi nimesikitika kwa hilo. Naamini zilikuwa hasira tu na mechi ya Jumapili tutamuona Eva Caneiro kwenye benchi la matibabu akifanya mambo yake...!
Itakuwa mou alkula chaga et.....
Maana yake ni" Eva alipoingia ofisini mwake alimkuta Jose akimfundisha Kestrel kupiga penalty."Mentor usinichekeshe utamuona wapi wakati keshaaga kabisa, japo si fan wa Chelsea but nimesikitika sana.....
kiinglish kigumu mweee!!! Nielewesheni mwenzenu wenyeji Wa Nyumba hii ,huyu Jose alifanyaje? Nanukuu maneno ya dokta Eva" " I entered my office only to find Jose Mournhio Shagging my Pet kestrel" ndo nini hapa?