Mhhh!!! Kichapo kichapo tu haijalishi cha wapi........linaheshima yake ati!!! Tusiwaonee wivu arse8 mweee !!!!......Mimi mzima kakangu......naona shida ya striker ipo nanyi.
Ahhh!!! Wapi!!! Safari hii mnalo...Tupo wengi......endeleeni kuyajaribisha matairi yenu.
Hahahahaaa kwa squad ya Chelsea jinsi ilivyo yani sina shaka kabisa
haya mambo mengine hayana haja ya takwimu.ila ni.kutumia elimu ya kuzaliwa hv wewe chelsea uliyekaa miaka 55 bila kombe lolote na miaka zaid ya mia bila kupat uefa had drogba alipokusev leo hii wasema wewe kidunia wanne yani unajisifu kuwa umepitwa na man u madrid barca Sasa wewe waweza jifananisha na liver acmilan.bayern labda hao wakubwa saana yani weee type yako ya Newcastle na aston vila na ndio mana torres mwez uliopita alisema katika kosa alilolifanya kama mwanasoka ni kuhamia chelsea sababu mashabik wake wameanza shabikia mpira 2005 na haya ndio matokeo yake ninayoyaona hata mie watz
Ndio sisi hakuna wengine
Duh! Haya mapenzi mengine hatari!!
Mummy yaani hawa wameniaibisha acha tu......halafu Arse8 Hawana hela ya kutukodi tuwachezee kigodoro humu wangekoma Mbonaa?????
kajifunze mpira miaka 20 alf ndio uje kuongea na mimi
Waaiiii hata haiumi kombe gani limekaa kama sahani za shule, sasa ase88 wameshinda kombe au msahani?!. hi to you too dada akee everlenk .......... tusubiri msimu uanze vibabu vitajulikana tu.
Haha haha mpe maji uyoo
Tatizo watani wetu siku hizi wamekuwa kitonga sana.
Kila team inawafunga tuu
Unamaanisha hii?
Iyaaaaaaaaaaa dishuuuuaaaa.