Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
I have to say Manchester City, Arsenal,
Liverpool and Manchester United have got to do
so much better next season. The last team that
we should be criticising are Chelsea. They are
the ones that have gone on and done the job.
They have extended their lead tonight, they are
by far in front and they have been by far the
best team this season. They havent lost a game
since New Years Day.
Its the other teams that should really be
criticised. This Chelsea team have done
everything you ask of what will be the champion
team.
Kweli mkuu wivu unawauma sana! Just imagine from day one to the day of being crowned as champions chelsea has been at the top of the table! Kila wiki watu wanaisubiri chelsea ijikwae Kiasi cha kuachia nafasi ya kwanza, kinyume chake timu za haters ndizo zimekuwa zikijikwaa! Katika mazingira hayo kwa kweli wako bored to death! They cannot hide their frustrations! cc man u & arsenal fans!
You ae extremly right. nakumbuka siku zile tumejikwaa na Man City katukuta na tukawa tunaongoza kwa sababu ya alphabet, haters walifurahi kinoma. walijua huo ndo ulikuwa mwisho wetu!! wakasubiri game inayofuata tujikwae na Man City atuache. Hata Man City wenyewe hawajui vumbi gani walitimuliwa. walijikuta wanashangaa wako tena 8 points behind us!! hawakuweza tena kuinuka na ndo ukawa mwisho wa any person to attempt playing catch up on us. Kilichoongezeka ni kelele (na vilio) vya haters wetu!! Lakini Waungwana walishaliona hili siku nyingii kuwa kelele za chura ..... (malizieni haters!!!)
Gary Neville was quoted giving the above remarks!
Ktk makosa ambayo tuliruhusu ni hilo la kufikiwa Na city. Aisee Mou alikua mkali sn kwa wachezaji Na marefa Na vyombo vya hbr kwasababu kulikua Na fitina zinataka kupenyeza Na wachezaji walibweteka kwa kusifiwa kua watakua mabingwa wakati ligi ingali nusu tu.
nakubaliana nawe Ntuzu. that was a big mistake. no wonder hatukukubali tena kufikiwa. vijana walianza kulewa sifa na baada ya kufokewa akili ziliwarudia na pia waliona hatari ya kupoteza nafasi nzuri ya kuchukua ubngwa. uzuri pia wa wenzetu hizi CV za ubingwa zina matter sana kwenye personal life achievements zao. so hata uelewa ni mkubwa
Ni kweli kabisa Mkuu. Unajua Manumbu tumesema mengi sn ktk huu msimu Na mengi tutakua tunayarudia tu ndio maana Mimi wakati mwingine naamua kua msomaji tu...ila napenda sn huu uvumbuzi Wa maneno Wa Jose unatupa misemo ya kuchangia na kutaniana. Kuanzia ule Wa kuwaweka mifukoni wachezaji Wa Man muhimu na hii ya kusubiri kua bingwa Zaidi ya miaka kumi inabore Zaidi. Sasa imekua ukiongoza ligi kwa muda mrefu unaboa. Km umefungwa tangu January mosi Na haujafungwa tena unaboa.
Ndio maana waandishi wa habari wanampenda Maurinho. anawapa quotes kibao za kuandika and it makes their reporting lives so easy. na hapo kingereza sio mother toungue yake. hebu fikiria kwa Kireno angekuwa anatoa madongo mangapi!!! no wonder kumsikiliza Pellegrini inaboa kuliko boredom!! watu waliofurahia sana kurudi kwake Maurinho England walikuwa waandishi wa habari. Lkn pia haya maneno yake yanaongeza msisimko kwenye ligi kwa ujumla wake. tulimmiss England alipokuwa hayupo
2014/2015
Man Utd 1 vs Chelsea 1
Chelsea 1 man Utd 0 with possession 71
Chelsea 2 arsenal 0
Arsenal 0 Chelsea 0
Man city 1 Chelsea 1
Chelsea 1 man city 1
Liverpool 1 Chelsea 2.
Chelsea vs Liverpool still to come
No team in this big four have ever beat chelsea in these two seasons.
Yes we are really boring.
Nipo na niliona lile bao alilofunga Terry kwa karate, taikwandoo style.Nonda uko wapi swahiba?
Nimefurahi kuwa unakiri Mou anaharibu utamu wa mpira.unajua wadau mpira ni mahesabu na mbinu na mourinho analijua hili...sasa mi timu mingine inacheza kufurahisha watazamaji af mwisho wa siku mnaanza kulaumiana...kama majuzi Man U wanajifanya wanajua kugonga pasi af wakachezea besera za kutosha....!!!
Nipo na niliona lile bao alilofunga Terry kwa karate, taikwandoo style.
Rugby na mieleka pamoja na bahasha all the way!
"Kivyovyote" ulishaandika hapa. Chelseamovich style.
Sasa vipi ndoo 4 au 2? Bado ile order ya Segerea ipo .