Ntuzu leo kweli umekuwa mpolee...ngoja ningoje kwanza labla utachangamkaHahahahaaaaa na wewe mamito......
Last edited by a moderator:
Ntuzu leo kweli umekuwa mpolee...ngoja ningoje kwanza labla utachangamkaHahahahaaaaa na wewe mamito......
Huyu mkubwa na mwanae huku ndo simuelewi anafanya nini.......
acha umbea... ntakuchapa
Leooo ni leooo
Jamani kwani mimi nimeongea kitu.....Haya mimi chichemi yule kocha aliwadanganya kusema atapanga kikosi dhaifu.....
we Lala saiv.. utaota ndoto mbaya bureeee.
Weee mimi sasa ni wa kukosa kushuhudia huu mziki wa leo leo mpaka kieleweke
Mkubwa na wanaeeeeeee
Hahahaha!!! Kiroho kilikuwa juu ukaona tutawazodoa sana eeh. ...hope sasa umetulia
Hahahaha!!! Kiroho kilikuwa juu ukaona tutawazodoa sana eeh. ...hope sasa umetulia