Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #25,401
Kwa heshima zote kwa pulofesa, Wenger si wa level ya Mourinho, ni sawa kuwalinganisha Tyson Vs Pac Man
Watu wa level za Mourinho ni kina SAF, Lippi, Ancelloti
Duh Kiongozi hujamumunya maneno aiseee.... Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote Mkuu.
Vizuri umekumbushia.Leo umeisahau Na Newcastle?
Hatuna pressure yoyote sisi kwasababu matokeo hua tunayajua kabla ya mchezo...kwa mfano sisi tukikutana na timu yoyote ile matokeo ya kwanza ambayo tunayajua ni kutokufungwa....hili tunalijua vzr sn...
Vizuri umekumbushia.
Vipi ile mechi na Arsenal? Yule Cahill alisahau kuwa ule ni mpira wa miguu na sio mikono?
Dalili za kazi ya bahasha za Chelseamovich.
Leo inakuuma, unakumbuka mashuti ya ivanovic yalivyokuwa yanazuiliwa kwa mikono na mabeki pinzani au pale bahasha zilikuwa bado? Wachezaji sita ndan ya timu ya mwaka ya PBL bado unakomaa kuwa Chelsea inabebwa. Aisee watu wanachuki za hatar.
Sifia Mkuu hata km inauma, kidonge n kichungu lkn ndo tiba
Vizuri umekumbushia.
Vipi ile mechi na Arsenal? Yule Cahill alisahau kuwa ule ni mpira wa miguu na sio mikono?
Dalili za kazi ya bahasha za Chelseamovich.
Kwa jibu lako Ntuzu kafurahi sana kajifanya kushangaa kumbe anachekelea sana....kakuchokoza tu uongee neno.........
Tumekupata mkuu... Buffon naona ananusa harufu ya ubingwa.. kazeni wazee
Wakuu mmesikia hizi tetesi?
Big news coming from the British islands. According to The Sun, Real Madrid are going to offer Gareth Bale in swap for Chelsea's Eden Hazard. The report also indicates that Los Blancos have begun talks over Hazard with Chelsea FC.
Although José Mourinho himself ruled out Real's interest in the Belgian star, Zidane's quotes in which he said Hazard was one of the top three best players in the world started this rumor mill that will not stop any time soon. Furthermore, Gareth Bale is also reportedly on Chelsea's radar if Real Madrid finally decide to part ways with the Welsh attacker.
However, these swaps don't work very often. It's always very hard to find a match between what both clubs want, and Chelsea would probably ask for money as well given that Hazard just won the PFA Player of the Year Award. It would be extremely surprising to see this kind of deal getting done, so take this rumor with a grain of salt.
Real Madrid offer Gareth Bale to Chelsea in swap for Eden Hazard - Managing Madrid
Kama hili likitokea sitegemei Maurinho kumuachia Hazard kwa Bale bila kudai walau 50M pounds in addition
Mkuu hiyo inaweza kua kweli lkn Mourinho hawezi kumuachia Hazard na pia juzi Mourinho aliweka bei ya Hazard kwa timu yoyote ile itakayo mtaka Hazard akasema watoe paund m 100 na mchezaji juu...
Kz kwao ktk hilo dau.
yes niliisikia hiyo ya dau la Hazard paundi 100 kwa kila mguu na mmoja wa wachezaji watatu bora wa Real. of course pound 200 haiwezekani, ila Madrid walivyo machizi wanaweza kukupa Bale na Paundi 100!! jamaa hamnazo wale!!