Na yule ni mrembo kweli Kama everlenk... Kesho nahisi itabidi awasaidie nyinyi tu, naona madokta wenu wameshindwa kutuletea majeruhi wenu on-time.. Kichapo kinakuhusu mama
Karibu Darajani
Hahahaha!!! Chezea Lady doctor wewe!!! Wewe mwenyewe lazima upone......
Kesho nitakutibu wewe tu maana hali yako itakuwa mbaya........
Kesho nitakutibu wewe tu maana hali yako itakuwa mbaya........
Hahahaha!!! Chezea Lady doctor wewe!!! Wewe mwenyewe lazima upone......
Here is not applicable, kunguru mjanja are you rejected my offer???
Hahahahahah.. Ngoja nisubiri.. Najua hata nikizidiwa daktari wangu upoo
Usiwaze kabisa am here for you......relax.......
Ila tuache masihara kesho ikitokea mmeshinda japo haitatokea wewe na kunguru mjanja mtaninyanyasa sana.......
Am not rejecting your offer but the condition of your offer is what I rejecting.
Yaan mambo ya kusema ntakuwa na machungu....hayo ndo hapana.
Usiwaze kabisa mimi na wewe tujiandae mambo matatu ambayo ni kushinda, kushindwa na sare katika hayo lolote laweza tokea..... Relax kabisaaaa huo ndo mpira.....
Usiwaze kabisa am here for you......relax.......
Ila tuache masihara kesho ikitokea mmeshinda japo haitatokea wewe na kunguru mjanja mtaninyanyasa sana.......
Unakumbuka nilikusemea kwa daddy yako..!? Me nakupa tu adhabu kesho... Ila na ww usinuneeee my dear
Dah!! Kesho ni siku ngumu sana kwangu unajua na Barca inacheza pia? Mie sinuni kwa sababu adhabu yako haitonipata.........
Dah!! Kesho ni siku ngumu sana kwangu unajua na Barca inacheza pia? Mie sinuni kwa sababu adhabu yako haitonipata.........
Yes, Nakubali mpira ni Dk 93 siku hizi wala sio 90. Sasa humo matokeo yoyote ni uwezekano maana kwanza mpira wenyewe unadunda.... Am cool waiting for the result but am not preparing myself for the worse
That's good, me too not prepared for the worse but ready for anything.......
Mmmh pole sana... Ngoja tuone mama,, kwa barca nakuombea mema... Ila huku kwa LVG hatanikikuombea dua haitofika kokote.. Malaika na makerubi wataizuia njiani...
I know you are very shy.. Instead of saying your ready for something that's to loose... You're trying to hide it by saying you're ready for anything...
Hahahahah... Your welcome mom..