NtuzuMkuu isifikie hatua mkuu mtu unakata tamaa kwa matokeo km haya.... kitu ambacho kinaweza kuuma mpk leo ni namna tulivotolewa ktk UEFA lkn sio EPL. Nitakupigia hesabau hapa kidogo alafu uone km kombe haliji Darajani.....
......
Kwa hiyo ukiangalia timu zote zinavoenda kwa sasa na ratiba zao jinsi zilivo unaona wazi kabisa uwezekano mkubwa wa chelsea kuchuka kombe....ata km ktk michezo iliyobaki tukapa draw tatu na kushinda yote maana kufungwa au kupoteza hilo halipo kabisa..... na ukumbuke kua sasaivi chelsea haiko ktk presha kubwa .........
Ni wakati sasa wa Chelsea kucheza mpira mzuru na kuhakikisha kua hawadondoshi point hovyo na hawapotezi mchezo ata mmoja......mkp kombe litue darajani.
Ubingwa ni wetu iwe isiwe......
Well said Ntuzu. I support and concur with you. tunachopaswa kufanya tu ni kuhakikisha hatujisahau na hili Maurinho keshalisemea kuwa hakuna complacency. tofauti na timu nyingine, hizi sare na ushindi wa 1-0 ndio matokeo ya kushuka kwetu kidogo kwa kiwango. sasa kama ukishuka kiwango unatoa sare, je kiwango kikirudi itakuwaje? nadhani hatuna sababu ya kupanda mzuka wana Blues. sana sana tuendelee tu kuumia kwa kuondoka kwenye CL. Lkn EPL msimu huu ni letu kabisa.
Ntuzu
Unatamani Chelsea isipoteze mechi au point, hilo haliwezekani.
Hizo timu ambazo mnafikiria ni nyepesi kuzifunga ndio ambazo zitawakamua kichizi. Uliza Man City alifanywa nini na Burnley?
Umepata wapi nguvu na ujasiri wa kusema biashara ya Man Shitty imekwisha kama haikuwa kwa City kukwaa kisiki kule Burnley?
Minzio ikinyolewa na wewe ............
Na hilo tayari linawezekana au Southampton hawakuwaonesha dalili?
The BEAST........................
The Beast lakini hana hata goli la dawa CL na hana hata la dawa WC.
Kuna mjadala unaomjadili yeye na Olivier Giroud. Nani kati yao ni Great Striker na nani ni Good Striker.
The Beast lakini hana hata goli la dawa CL na hana hata la dawa WC.
Kuna mjadala unaomjadili yeye na Olivier Giroud. Nani kati yao ni Great Striker na nani ni Good Striker.
Olivier ana magoli 11 katika ligi while Costa ana 18 katika ligi.Oliver ana magoli mangapi in all competitions this season? Compare to Costa ?
Olivier ana magoli 11 katika ligi while Costa ana 18 katika ligi.
Wote hawana goli CL hadi sasa.
Swali linabaki pale pale, kwa nini Costa awe world class striker na Giroud aonekane wa kawaida wakati Costa katika mechi kubwa hayupo?
Labda kwa sababu hizo, otherwise he's just a "normal" striker as compared to the likes of Aguero. Hata Benzema mie namkubali kuliko Costa..!Hata sijui, ila najua Bayer Munich , Real Madrid au Barcelona wanaweza kuongeza Dau kumnunua Costa au Aguero ila sio Oliver ,..nafikiri na aina ya uchezaji wa Oliver pia
Giroud sio striker anayetisha, he is quite, sio aggressive
Labda kwa sababu hizo, otherwise he's just a "normal" striker as compared to the likes of Aguero. Hata Benzema mie namkubali kuliko Costa..!
The BEAST........................
Toa sababu usiongee kishabiki kiongozi...!People must be joking! Giroud si wa kulinganishwa na Costa! Hawa ni watu toka sayari mbili Tofauti! Aguero sawa. Kama unataka. Mlinganishe Giroud na Sturidge!
Nalo neno, kwa hiyo tukubali kuna watu wana damu ya kunguni, au hawakubaliki kirahisi hadi wafanye ''the unthinkable'' lol..Huoni Baloteli anavyojulikana kuliko Oliver na hafiki hata nusu ya ubora wa Oliver,
Olivier ana magoli 11 katika ligi while Costa ana 18 katika ligi.
Wote hawana goli CL hadi sasa.
Swali linabaki pale pale, kwa nini Costa awe world class striker na Giroud aonekane wa kawaida wakati Costa katika mechi kubwa hayupo?