Bora tumetoka, angalau Mwenye timu atatafuta kocha mpya maana huyu mjinga mjinga na formation yakr na defece mechanism yake. Na mjinga njinga kipa na mabeki watimuliwe tu
Me ni chelsea fan ila dah..poor tactics from mourinho...anadefend wakat tuna advantage ya nyumbani na psg wapo pungufu..!
kwani wewe unatakaje? sheria za hiyo michezo mingine mimi sizifahamuSheria za mpira inabidi ziangaliwe. Kosa la mtu mmoja linafanya timu icheze pungufu dk 100? Waige Rugbi, tennis, etc.
tukutane ligi kuu,upo nafasi ya ngapi vile?Vipi quadruple bado mna hizo ndoto? Kulaleki na mnaweza kuishia na kikombe cha mbuzi tu...
Morinho aliharibu ile sub ya Matic akaingiza Beki akajua game imeisha kumbe bado mbichi kabisaaa,,,jamaa utadhani walikua 12 badala ya 9. Bwahahaha Poleni sana njooni England tuheshimiane sasa.

2015-2016Diego costa ndo katuuza, kuna muda fab alikuwa free badala ya kumpa pasi akabutua, ila sio mbaya we will be back
Diego costa ndo katuuza, kuna muda fab alikuwa free badala ya kumpa pasi akabutua, ila sio mbaya we will be back
Diego costa ndo katuuza, kuna muda fab alikuwa free badala ya kumpa pasi akabutua, ila sio mbaya we will be back
Morinho aliharibu ile sub ya Matic akaingiza Beki akajua game imeisha kumbe bado mbichi kabisaaa,,,jamaa utadhani walikua 12 badala ya 9. Bwahahaha Poleni sana njooni England tuheshimiane sasa.
Pale alichemka kabisa Mou
mkuu!! kalale utaelewa asubuhi,Kwan chelsea ndo imetoka?