RRONDO ndugu yangu kijana Ings kakusumbua jana sana lkn hongera kwa ushindi!
Huku majirani wetu wa Darajani wamempiga player-less Everton pia!Nao pia naqapa hongera
Ndoto si kitu kibaya. Endelea na ndoto zako.
Ndoo pekee mtakayopata msimu huu ni ile ya Segerea.!!
Lini Mourinho amekubali kuwa wanamieleka wake wamefanya makosa? Una kumbu kumbu yoyote juu ya hilo?
Duu. Wewe chilumendo lini umeanza kuwa mshabiki wa kabumbu?
Kama unajua mpira kweli andika kidogo kuhusu uwezo wako katika kuchambua kandanda. Baada ya hapo tunaweza kuanzisha ligi yetu.
"In a lively opening period, Chelsea had a penalty appeal waved away when Naismith parried the ball with his arm."
kosa kama hilo opponents hawaliongelei na hawalikumbuki hata kidogo ila kosa.likifanywa na mchezaji wa chelsea lazima liwakae kichwan na kukaa wanalalamika kutwa nzima.....wanataka mchezaji wetu afungiwe.na FA naona mnataman hata kuoata namba za hao FA muwwambe kuwa chelsea wqfungiwe....mwaka huu wapinzani wetu mna kazi ya ziada...let chelsea play its game!!!...
Cech again ..........
alipozuia hii nikawa nawaza ingekuwa yule kipa wa pili?Cech again ..........
lunajua binadamu sisi watu wa ajabu sana. hizi penalties tunazonyimwa sio makusudi. ni ile hali ambayo mtu anayekuona una uwezo anaamini hustahili vi favours vidogo vidogo. kwamba kwa uwezo wako lazima ututafanikiwa tu wala huitaji 'kubebwa' kwa aina yoyote. ndivyo waamuzi waonavyo ndani na nafasi zao. wanaona kwa mpira wenu na assets mlizonazo mtafunga tu goli anytime. so hamna haja ya kupewa pewa penalties as mtaonekana mnabebwa wakati hamsahili kubebwa bali mtashinda kwa merit.
nadhani kama penaties zote tungekuwa tunapewa, gap la points lingekuwa kubwa sana. Kila mechi kuna incidence ya sisi kustahili kupewa penalty lakini marefa wanapeta for reasons not understood. but iwe penalty isiwe, kombe la EPL letu mwaka huu.
alipohojiwa baada ya game kuhusu hii save alisema alishaona mpira unavyokuja na jinsi watu walivyojipanga mbele yake. Alishahisi lukaku angeukuta ule mpira bila kikwazo cha beki yoyote so akawa kajiandaa am block vipi. Na mungu saidia ikawa kama alivyodhania!! Cech bwana. Bonge la kipa!
alipozuia hii nikawa nawaza ingekuwa yule kipa wa pili?
Willian kiboko!