Tuwekee basi na picha za Olympiakos 1-0 Arse, pia za Loserfools 1-2 Fiorentina.
Ahsante, lakini wewe unashabikia timu gani? Maana naona kila kukicha Chelsea hivi Chelsea vile! Kunani Chelsea na wewe?!
Hata kabla matanga hayajaisha Chelsick wamejikuta katika hali ya hatari zaidi wakati kiungo wao muhimu na mfungaji magoli Michael Essien kuambiwa kwamba atakaa kwenye meza ya madaktari kwa muda wa wiki nne. lakini wachunguzi kutoka JF wamehakikishiwa kwamba atakaa mezani wiki sita na wiki mbili zaidi kuchukua speed hivyo yeye ni kachero tu kwa miezi miwili mfuto. Hata mechi za African Cup zitampita tu kama mvua lakini hiyo itakuwa faraja kwa wana darajani.
Kulikuwa na mategemeo kupata msaada kutoka kwa Horse placenta dokta kutoka Serbia lakini uchunguzi wa JF umebaini kwamba daktari mwanamama wa kisebia amebwaga manyanga na kutoweka baada ya askari kanzu wa kitengo cha kodi kutaka walipwe kodi kutokana na mama huyo kulipwa pesa lukuki kutoka kwa mamillionare wa Premier League.
Daktari huyo bingwa hadi tunapokwenda mitamboni alikuwa hajulikani aliko, pengine itabidi juhudi zifanywe na Interpol ili apatikane au Russian mafia wamtafute kwa udi na Uvumba kwani Abramovich hawezi kukubali kukosa taji msimu huu. Je, wataweza kweli kutoa fweza muafaka watakapokwaana na Everton ili matanga yaishe? Hilo ndio swali kubwa weekend hii.
Tunasikitika na kwa majonzi makubwa tunatoa pole kwa peasant kigogo ambao wamekuwa Invisible, lakini inshallah Masamilo tunaye. Vile vile kwa AB usiwe na shaka huwa hatuwasahau wafiwa.
Kwi kwi kwi, utanijua siku moja! Anyway, I wish you the best of luck this weekend.halafu wewe peasant una bahati tu sikujui, ningekutwanga stuli ya kichwa, yaani timu yangu ndio loserful😕??? sie leo tulikuwa tunapiga jaramba la jumapili, bahati mbaya arses wametugundua na wao wakafanya hivyo... ujue kwamba liver na arses wako wodi ya wagonjwa chronic kwamuda sasa... ila naona na scums mnajongea maana siku saba sasa mnatumia dawa za kuharisha... kazi kwenu!!!
Ahsante, lakini wewe unashabikia timu gani? Maana naona kila kukicha Chelsea hivi Chelsea vile! Kunani Chelsea na wewe?!
The diver
Sasa sijui kama kweli kesho ataweza ku-dive vya kutosha kuweza kumaliza matanga?
Hata kabla matanga hayajaisha Chelsick wamejikuta katika hali ya hatari zaidi wakati kiungo wao muhimu na mfungaji magoli Michael Essien kuambiwa kwamba atakaa kwenye meza ya madaktari kwa muda wa wiki nne. lakini wachunguzi kutoka JF wamehakikishiwa kwamba atakaa mezani wiki sita na wiki mbili zaidi kuchukua speed hivyo yeye ni kachero tu kwa miezi miwili mfuto. Hata mechi za African Cup zitampita tu kama mvua lakini hiyo itakuwa faraja kwa wana darajani.
Kulikuwa na mategemeo kupata msaada kutoka kwa Horse placenta dokta kutoka Serbia lakini uchunguzi wa JF umebaini kwamba daktari mwanamama wa kisebia amebwaga manyanga na kutoweka baada ya askari kanzu wa kitengo cha kodi kutaka walipwe kodi kutokana na mama huyo kulipwa pesa lukuki kutoka kwa mamillionare wa Premier League.
Daktari huyo bingwa hadi tunapokwenda mitamboni alikuwa hajulikani aliko, pengine itabidi juhudi zifanywe na Interpol ili apatikane au Russian mafia wamtafute kwa udi na Uvumba kwani Abramovich hawezi kukubali kukosa taji msimu huu. Je, wataweza kweli kutoa fweza muafaka watakapokwaana na Everton ili matanga yaishe? Hilo ndio swali kubwa weekend hii.
Tunasikitika na kwa majonzi makubwa tunatoa pole kwa peasant kigogo ambao wamekuwa Invisible, lakini inshallah Masamilo tunaye. Vile vile kwa AB usiwe na shaka huwa hatuwasahau wafiwa.
Wewe mtu unakwikwi kweli....lakini tuko pamoja mpaka kieleweke tu.
Ze Bluuz for life.
Very discouraging...
Chelsea 2 - Everton 2
Half time