nyie ndio mnaoongoza kwa kutukana watu wapoongea msichopenda kusikia.... Ntuzu mimi juzi juzi tu niliwatolea uvivu maanake nilijaribu kuwa mstaarabu kuna wajuaji wakaanza kunitukana.
Malafyale MosDef hawana shida....sasa hao wengine hao,yaani anaweza kukurupuka huko akakutukana tu kisa labda umesema timu yao mbovu, mtu unavumilia ila mwisho unaamua kuwaonyesha kuwa kila mtu anaweza kutukanaKiongozi kule watu ni wehu wanafikia hatua ya kutukanana wao kwa wao we unafikiri mchezo mkuu? ni huyu tu ndio yuko huru na baadhi ya washikaji mnaweza mkapiga nao story kidogo lkn wengine ni wehu kule.
Kiongozi kule watu ni wehu wanafikia hatua ya kutukanana wao kwa wao we unafikiri mchezo mkuu? ni huyu tu ndio yuko huru na baadhi ya washikaji mnaweza mkapiga nao story kidogo lkn wengine ni wehu kule.
Ndani ya Stanford bridge..!!!
Nonda bhana hizi habari zako naona km unatutania tu maana sio jana tu hajaongea na vombo va habari na sio yeye tu mpk masaidizi wake hakutaka kuongea na media. Matic na Remy ndio walifanya hio kz sababu za kufanya hivo Mou mnazijua nyie mnaompiga fine mara kwa mara. Sasa asipoface media mnapiga kelele za nini tena? Muachane apumzike.
Anatakaku-face media anapotaka kulalamika tu au anapokuwa wanamieleka wake wamefunja watu mbavu au miguu?
Ajifundishe kuutumia mdomo wake vizuri tu, tena awe na heshima kwa makocha, waamuzi na timu zingine.
Mourinho aweze kudhibiti "domo" lake.
Pia awafundishe wachezaji wake wawe wacheza kabumbu safi sio wacheza rugby na mieleka.
Anatakaku-face media anapotaka kulalamika tu au anapokuwa wanamieleka wake wamefunja watu mbavu au miguu?
Ajifundishe kuutumia mdomo wake vizuri tu, tena awe na heshima kwa makocha, waamuzi na timu zingine.
Mourinho aweze kudhibiti "domo" lake.
Pia awafundishe wachezaji wake wawe wacheza kabumbu safi sio wacheza rugby na mieleka.
José Mourinho
Football manager
José Mário dos Santos Mourinho Félix, OIH, known as José Mourinho, is a Portuguese football manager and former football player who is the current manager of Chelsea. Wikipedia
Born: January 26, 1963 (age 52), Setúbal, Portugal
Height: 1.75 m
Spouse: Matilde Faria (m. 1989)
Teams coached: Chelsea F.C. (Manager, since 2013), more
Awards: BBC Sports Personality of the Year Coach Award, more
Children: Matilde Mourinho, José Mário, Jr.