Matic na Hazard hawakucheza hiyo mechi mkuu.....alafu stats zinaonyesha hatukuzidiwa mkuu.....mbona hili liko wazi kabisa....!
Breaking news
29 January 2015
Last updated at 16:35 GMT
Diego Costa to contest violent conduct charge
Chelsea striker Diego Costa will contest the violent conduct charge brought by the Football Association after the game against Liverpool on Tuesday.
More to follow.
he will get a four-game ban instead of three...he shouldnt contest,its waste of time!
Costa huwa ni mjinga fulani hivi, inabidi apewe kama ya Suarez ili akili zirudi
Ntuzu hii game ya J1 ni bonge la game aisee. of course tulitumika sana J4 kwa zile dkk 120. nadhani ndio maana Mou anamlalamikia mwamuzi kwa zile penalty na red cards za wazi ambazo hazikutoka. game ingeishia dkk 90 na tungepata muda wa kupumzika.
ingawa hivyo game itakuwa ngumu na nzuri na nna uhakika tutapata matokeo tuyatakayo...ambayo ni ushindi tu! Bf February lazima Premier League leader aongoze kwa zaidi ya point 7!!!
It will be a surprise if he escapes punishment, but Costa, Mourinho and others at the club have been incensed by the charge and are determined to fight it. #Mail on line#
Km vyombo vya habari vinaandika hivi hii wanakua wanashinikiza hukumu moja kwa moja na ndio hapa Mourinho anapiga kelele kua kua kampeni mbaya dhidi yake....yani kwa uandishi huu ni hatari sn na hiki kitu kinachochewa na vyombo vya habari na wachambuzi wa soka. Ngoja tuone hio kesho ijumaa uamuzi wa mwisho.
Kesho Ijumaa anaongezewa game ingine moja so hata fainali Wembley hachezi!
Hawezi shinda rufaa
wakuu maamuzi ya awali yanasemaje ??.
Mnasaidiana na vombo va habari kutoa hukumu kilichobaki ni utekelezaji tu................lkn sisi sio km nyie mnalialia sn kwa kukosekana Danny utafikiri danny ni mchezaji peke ake? Yuko Remy na yeye ni muda wake mzuri wa kuprove kwa watu kwamba Mou hakukosea...............na hasa kwa Big game km ya kesho....Drogba sihitaji ata kumuelezea kwasababu kazi ake mnaifahamu vzr.
Kufananisha impact ya Costa na Remy/Drogba ni sawa na kujiuliza kati ya zawadi ya Benzi CLS mpya na bodaboda mpya uchukue nn!
Km hoja yako ndio hiyo basi kulikua hakuna umuhimu wa kusajili wachezaji watatu strikers ktk nafasi moja maana km Costa ni zaidi yao basi wanfanya nini sasa km akiwa Costa hayupo? hapa nafikiri uatakua umenielewa km bado niambie tena.......sio nyie mnalialia tu Danny Dannyyyyyyy......Tulienui muone kz
Maamuzi ya awali Costa kafungiwa games 3 lkn kakata rufaa na inasikilzwa kesho
Ubaya wa rufaa ukishindwa wanakuongezea game moja zaidi so 100% kesho Costa anapigwa out games 4
Tusubiri mpk kesho tuone uamuzi wa mwisho na kunauwezekano akapewa adhabu lkn mechi atakazokosa kwa kutumikia adhabu zikapunguzwa......bado hili swala halijafikia mwisho.