Asante sn everlenk ni bora tumetolewa ingawa sio km yalikua malengo yetu, lkn hii itasaidia wachezaji wetu kupumzika......
Huna hoja wewe Nonda............................
Mkuu Ntunzu ulisema utanitafuta January, vipi January haijafika huko uliko?
Lete tathmini ya mabao 5- 3 ilikuwaje?
link https://www.jamiiforums.com/sports/20023-the-chelsea-fc-thread-1058.html#post11533437
Nilikwambia msimu huu huna timu...hukuamini.
Sasa kuna timu nyingine ndio zimeanza kupasha misuli moto ili kuinyonga Chelsea.
Watu wameshamjulia ndio maana hana jipya
Msimu 2012/13 hakuchukua kombe lolote katika makombe ma3 aliyokuwa anashiriki akiwa na real Madrid,msimu 2013/14 hakuchukua kombe lolote kati ya mako be ma4 aliyokuwa anashiriki na Chelsea.msimu wa 2014/15 kati ya makombe ma4 moja kabwaga manyanga
Huyu ndie kocha bora ulaya?
Mkuu mourinho alipokuwa na Porto alikuwa ana paki bus.alivyoenda Chelsea akawa anapark bus,alivyoenda inter Milan akawa anapark bus,akawa kocha wa club kubwa na bora duniani akawa ana park basi.akarudi Chelsea game za msimu huu man city,man u,Liverpool zote anapark bus
hujui lolote wewe ulaya nzima na dunia nzima wanamkubali....
hapana hatukuzidiwa Stats zinaonyesha tuliongoza kwa kila kitu tatizo ni DHARAU ndio iliyopelekea tukafungwa....wachezaji kiakili walijijengea kua hiyo ni timu ndogo lazima wataipiga kumbe mambo hayako hivo...
Nzi hakuna haja ya kuuma maneno. maurinho alishasema kabla ya mech ikuwa kufungwa na Bradford itakuwa fedheha kwa Chelsea na amekiri hivyo hivyo baaa ya game. na ni ukweli mtupu. ni fedheha sana kwetu kutolewa ktk FA kwa namna ile tuliyotolewa tena na timu kama ile. ni afadhali tungeingia round nyingine ya FA na kuja kutolewa Carling cup na Liverpool kesho. manake tayari Liverpool ni timu kubwa na imewahi kututoa kwenye Champions League huko nyuma. ingawa hivyo kuna kitu kinaitwa blessing in disguise. binafsi kutolewa juzi nakuchukulia kama changamoto chanya kwa hasa wachezaji. kubweteka kwenye mechi za mtoano kutaigharimu timu. kuna ule usemi usemao one step back and two steps forward. hii ita aply sana kwetu kwa sasa. baada ya kutolewa FA kwa style ile, vijana watajua maisha sio mteremko kama walivyoanza kujiaminisha. msipofanya kazi tena working really hard, hakuna kombe hata moja litachukuliwa. Lazima kupambana mwanzo mwisho na kuongoza goli 2 tena mkiwa nyumbani hiyo sio guarantee kuwa mshashinda mechi, mpaka filimbi ya mwisho.Nyiye washabiki wa rentboys mnafurahisha kweli; wakati mkijifariji kwa kusema eti FA Cup ni kombe la mbuzi, oh sijui ni bora kutolewa na kuangalia makombe makubwa n.k. Kocha wenu anasema ni aibu na 'disgrace' kufungwa na timu ndogo.
ingawa hivyo kuna kitu kinaitwa blessing in disguise. binafsi kutolewa juzi nakuchukulia kama changamoto chanya kwa hasa wachezaji. kubweteka kwenye mechi za mtoano kutaigharimu timu. kuna ule usemi usemao one step back and two steps forward. hii ita aply sana kwetu kwa sasa. baada ya kutolewa FA kwa style ile, vijana watajua maisha sio mteremko kama walivyoanza kujiaminisha.
Tuombeane heri kesho tuibuke na ushindi ukifuatiwa na mwingine J1! hizo ndo zitakuwa two steps forward kwa sasa mpaka May 2015!!
Ntuzu kaka yaani Bf wanapata bao la kwanza bado Chelsea akina Matic wana dharau?
Wanasawazisha bado akina Drogba wana dharau?
Wanapata bao la 3 bado Ramires dharau ni zile zile?
Wanapiga la 4 hapo ndipo Hazard anazidisha mno dharau?
Hapana kaka maji yalizidi unga!Kaeni chini mjipange muitoe Liverpool leo
Matic na Hazard hawakucheza hiyo mechi mkuu.....alafu stats zinaonyesha hatukuzidiwa mkuu.....mbona hili liko wazi kabisa....!
Kaka namna gani kaka?
Hazard aliingia kaka ehehehehehehe
Matic ni mchezaji wa Chelsea ina maana akiwa nje hawezi kuwaambia akina Drogba waache dharau?Na huyo Matic?