Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

jins city alivyocheza leo akiendelea hivi hivi chelsea atatangaza ubigwa mapema....tukiacha ushabiki city hayupo vizur na huenda round ya pili akapoteza mechi nyingi zaidi

mpaka yaya ture arudi Chelsea atakuwa anaongoza kwa pointi 10 na Man City hawezi kumkamata katu. ndio gap linaanza kuongezeka hivyo...na tukikutana nao mwezi ujao tunawapiga kipigo cha mbawa mwizi!
 

If Chelsea has million fans, then I'm one of them.If Chelsea has just one fan, then I'm that one.If Chelsea has no fans, that means I'm dead! Win or lose. 0 goal or 10 goals.Good form or bad form.I will always love and support you! Even if the whole world stands against you, I will fight for you! CHELSEA TILL I DIE

 

Uyu kipa mgonjwa au?
 
Personally huwa nafarijika sana kusikia mtu yuko busy kabanwa na kazi mpaka anakosa muda wa kufanya mambo mengine. kwa hilo nakupa hongera sana Mkuu Ntuzu. it is good to be busy kuliko idle kama yule jamaa mcheka cheka hivyo humu ndani!!


Thx mkuu Manumbu.........................!

Tumeshinda leo mkuu na bado tunaongoza ligi.
 
Last edited by a moderator:
jana Cech amemfanya Mourihno afikirie mara mbili kuhusu nafasi yake katika kikosi cha kwanza
kalou Cech sio kipa mbaya anachofanya Mourinho ni kumpuzisha tu baada ya kutumika sn.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kalou. Performance ya Cech jana lazima kocha yoyote ajiulize. Katuweka sana mchezoni jana. Vinginevyo wale madogo wangetibua hbr mapema.
 
Last edited by a moderator:
aisee nimekufichua mafichoni!!!!! khe khe khe khe khe khe ni kweli ulipinga hilo...ila wewe ndio ulisema hupotezi point hadi jan 4!

Pole sn rafiki yangu kwa kufungwa jana
 
Pole sn rafiki yangu kwa kufungwa jana

kufungwa jana kumenikera sana.....striker anachezeshwa nafasi ya kiungo,kiungo anachezeshwa nafasi ya striker! huyu LVG anaanza kuniboa sasa...anavuruga sana wachezaji,anapanga timu shaghala baghala na anawachezaji wa bei mbaya kazi yake kumbeba RVP tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…