Chelsick vishabiki vyake vipotoshaji nambari moja. Hebu viulizeni mwaka huu vinatetea taji gani? Hakuna hata kajasiri kamoja kanakoweza kujibu hili swali halafu vinaganga njaa ati facts! facts my ass! khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na tajiri kaanza kupoteza pesa kule Urusi ... .... ndio wakome ubishi.
This is the kind of sportmanship language. Ntuzu mganga wako kweli anajua kuziganga Ntuzu zilizozeeka.
Ni mganga huyo huyo aliyekwambia hutadondosha point?
Kwa hilo amekudanganya. Lol. te tehee hehteette tah tu teh haha h aaah.
Naomba unianzishie Jukwa la New Castel, mimi sielewi vipi unafungua jukwaa JF ili tupate jukwaa la kufurahia ushindi kwa kuifunga "Timu bora" duniani.
jamaa yuko obsessed na Chelsea,haiwezi kupita siku hajapost humu jukwaaniakili za kushikiwa..
Umefahamu au vipi? Timu ninayoishabikia ni Newcastle, timu iliyoifunga" timu bora" duniani.kuandika jina la timu huwezi na bado unataka kubishana?
hivi anaendeleaje huyu jamaa?! ...........Kurt Zouma forced off on stretcher after nasty collision during Chelsea's Capital One Cup clash against Derby
Point zetu 8 dhid ya Man City zlipotelea Wapi?
Chelsick vishabiki vyake vipotoshaji nambari moja. Hebu viulizeni mwaka huu vinatetea taji gani? Hakuna hata kajasiri kamoja kanakoweza kujibu hili swali halafu vinaganga njaa ati facts! facts my ass! khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na tajiri kaanza kupoteza pesa kule Urusi ... .... ndio wakome ubishi.
Hazijapotea zote nane, zimepotea tano tu pale tulipo-draw na Sunderland na kufungwa na Newcastle United.
Lakini kwa sasa tumelingana nao maana wao wamecheza mchezo mmoja zaidi yetu
mkuu tatizo lako ni nini hasa kiasi kwamba hulali kwa ajili ya Chelsea,yaani hapakaliki bila chelsea
Nenda ukadraw na liva ndo uje huku, najua roho inakuuma sn unapoona vtu vya hazard unataman angekuwa firauni am sorry flamin, jitahidin kombe lenu la nafasi ya nne naona West Ham wanaliwania.
Mkuu hebu soma vizuri mtiririko wa nilochoandika naona kama umenijibu tu bila kusoma nilichoandika