BAK aksante sn mkuu!
Nimefurahi kuona timu tatu za EPL zimesonga mbele Hii inaleta matumaini kua hizi timu zitafika mbali!
Lkn hawa wapanga ratiba ya 16 unaweza ukashangaa Hiyo knock out ya 16 uso kwa uso Chelsea na Arsenal hahahahaaaaa!
go chelsea fc, forever blue.
Clap clap clap clap
chelsea
clap clap clap clap
chelsea
clap clap clap clap
chelsea
Ilikuwa vyema tumeshinda jana tena kwa ushindi mzuri. ni vizuri zaidi tumepumzisha wachezaji kadhaa bila kuathiri kiwango cha timu. ni vizuri zaidi pia kuwa akina Schurlle wamepata nafasi na wamecheza vizuri kiasi kwamba wanaongeza depth ya timu ktk kipindi hiki cha mechi nyingi. Nimeona pia ni kwa kiasi gani Salah atatusaidia kukimbiza kule pembeni.
Hasira zetu sasa zinarudi kwenye prelimier this weekend ambako Hull City wanakuja nyumbani. Lazima tutoe tena statement of purpose ili watu wajue hali si hali kwao wote wanaoshikilia positions nambari 2 mpaka 20 kwenye premier league.
kama alivyosema Maurinho ni vyema man city bado wapo kwenye champions league. itawafanya wawe na mwechi nyingi kama tulivyo sisi na italeta uchovu na majeruhi kwa wachezaji, kama itakavyokuwa kwetu.
Baada ya Hull City tunakutana na Derby ktk Capital One!
December imeshaisha wakuu! Ukiangalia fixtures ya Chelsea mpk sasa ktk Hii december hakuna tishio lolote la kututoa pale juu!

Hayo ndio mliobakisha kujivunia! Ooooh tumejenga uwanja, Mara timu Ina hela Mara tunashiriki UEFA! Makombe hakuna! Kashinda babu jana mnamuona kocha bora! Akipigwa afukuzwe! Khe Khe Khe Khe Khe!
tumeshinda makombe mengi tu kama aliyoshinda babu wenger kwenye Champions League .
Baba yako alivyokuwa anakulipia ada alikuwa anakulipia kama SUGAR DADY wako au kama mzazi wako?
hivi babu Wenger ameshashinda makombe mangapi ya Champions League?
Hivi Bill Gates akifa na Microsoft inafilisika? shirikisha ubongo wako mara moja moja
Khe Khe Khe hivi nyie mlishawahi kuchukua UEFA? nijibu hili swali langu Khe Khe Khe Khe Khe!
Hatupotezi pointi hata point moja ktk mechi zetu zilizosalia mwaka huu. Ila gepu kati yetu na Man City litaongezeka kwa sababu Man City watapoteza point kama 3 hivi mpaka kumaliza December. Halafu wale wadau wanaojua kununa na kutukana tutawasikia wametokomea kusikojulikana
Na Baada ya hapo tunafunga mwaka na Southampton..tarehe 28/12
Sasa itangazwe rasmi tu, Chelsea ni timu ya Rugby au mieleka, ijulikane hivyo.Wanakaba na kuokoa hatari bila kusababisha faulo haijalishi ni mieleka au rugby Mradi kazi inafanyika ipasavyo. Ndio kazi ya beki Nonda
Unajifanya huelewi kuwa bahasha za Sir Ferguson amekabidhiwa Chelsea kwa kuwagawia waamuzi. Chelsea inabebwa sana siku hizi.Nikuulize wamesababisha penalties ngap, msimu huu vp red kad ni ngap kama hakuna bas si wanamieleka km manure na (AIDS) asernal is dying slowly.
Unajifanya huelewi kuwa bahasha za Sir Ferguson amekabidhiwa Chelsea kwa kuwagawia waamuzi. Chelsea inabebwa sana siku hizi.
Hivi mabeki wa Chelsea wanacheza mpira wa miguu au mieleka?
Wanakaba na kuokoa hatari bila kusababisha faulo haijalishi ni mieleka au rugby Mradi kazi inafanyika ipasavyo. Ndio kazi ya beki Nonda
Sasa itangazwe rasmi tu, Chelsea ni timu ya Rugby au mieleka, ijulikane hivyo.
Timu za mpira hazipaswi kucheza mieleka au Rugby.
Unaposema mabeki wa chelsea wanacheza Ruby au Mieleka, inakuwaje wanakuwa wamefanya faulo chache hivyo
Statistics
Fouls Committed
Rank Name Club Fouls
1. Mile Jedinak (CRY). 33
1. Connor Wickham (SUN) 33
3. Marouane Chamakh (CRY) 30
4. Leonardo Ulloa (LEI) 28
4. Victor Wanyama. (SOU). 28
6. Craig Gardner (WBA). 27
6. Erik Lamela (TOT). 27
8. Wilfried Bony. (SWA). 26
8. Moussa Sissoko. (NEW). 26
10. Mame Biram Diouf. (STK). 25
10. Morgan Schneiderlin (SOU). 25
12. Yannick Bolasie (CRY). 24
12. Graziano Pellè (SOU). 24
14. Etienne Capoue. (TOT) 23
15. Lee Cattermole (SUN) 22
15. Tom Huddlestone (HUL). 22
15. Vincent Kompany. (MCI). 22
15. Cheikhou Kouyaté (WHU). 22
15. Oscar (CHE). 22
15. Robin van Persie. (MUN). 22
15. Danny Rose. (TOT). 22
15. Alexis Sánchez. (ARS) 22
Sasa niambie hao mabeki wa Chelsea wanacheza Mieleka gani? Nonda