I J NJOVU JF-Expert Member Oct 22, 2015 3,189 10,740 Mar 15, 2016 #7 mshana jr said: Click to expand... Ha ha mshana, kwa jina la y*su nikiangalia hi joke nitacheka tu.
itara JF-Expert Member Aug 10, 2013 2,239 1,570 Mar 15, 2016 #11 Duh kwa hio ukatembea baada ya kupigwa nauli
Dr.adams faida JF-Expert Member Mar 11, 2013 1,874 3,305 Mar 15, 2016 #12 tang asubh cjacheka nashukuru cku imeisha vizur
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,635 729,533 Mar 15, 2016 Thread starter #15 wsaria said: Husilitaje bure jina la Bwana Mungu wako Click to expand... Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, kwakuwa Bwana hatamhesabia haki yeye alitajaye bure jina lake
wsaria said: Husilitaje bure jina la Bwana Mungu wako Click to expand... Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, kwakuwa Bwana hatamhesabia haki yeye alitajaye bure jina lake
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Mar 16, 2016 #17 mshana jr said: Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, kwakuwa Bwana hatamhesabia haki yeye alitajaye bure jina lake Click to expand... Kama jamaa alitembea inamaana jina la bwana halikutajwa bure!
mshana jr said: Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, kwakuwa Bwana hatamhesabia haki yeye alitajaye bure jina lake Click to expand... Kama jamaa alitembea inamaana jina la bwana halikutajwa bure!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,191 157,349 Mar 16, 2016 #18 Jamaa ana upako wa kipepo
W wa hapahapa JF-Expert Member Aug 22, 2012 7,455 4,388 Mar 16, 2016 #19 jamaa kamwibia muumin ndani ya kanisa....
RRONDO JF-Expert Member Jan 3, 2010 54,836 119,893 Mar 16, 2016 #20 Mwingine ilikuwa msikitini....mwenzie akamwambia inshallah utatembea peku leo, akashanga huyu vipi! Kutoka nje kakuta wameiba makubazi yake!
Mwingine ilikuwa msikitini....mwenzie akamwambia inshallah utatembea peku leo, akashanga huyu vipi! Kutoka nje kakuta wameiba makubazi yake!