Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,196
- 184,911
Hahahahaha kwel we smart
Mwanamke unamuambia agizia chochote. Anajivunga vunga. Naagizia changu cha maana, unakidokoa, sasa ndiyo nini.
Hahahahaha kwel we smart
Mwanamke unamuambia agizia chochote. Anajivunga vunga. Naagizia changu cha maana, unakidokoa, sasa ndiyo nini.
Uchoyo na ubinafsi uliopitiliza
Duh!....una jazba na wanawake, ngoja nikuache inawezekana umelelewa na baba tu!
Hahaha.. hapana. Nimelelewa n wazazi wote. Tena mama zaidi. Nawapenda wanawake wote.
Wenzetu kwa kujifanya wamestaabika, huwa wanasema "every boby and it's own portion" nadhani ndiyo maana akaamua kutumia kile cha jamaa.Hahahahaaaaaaa angemlisha za kwake basi kama ishara ya upendo mkuu
Mahaba hayo mkuu
Trust me they are not!All are absolutely the same except odour, size, and circumcise ( if any..
Trust me they are not!
Kwanza uje nikukague ili nikupe tofauti vizuri.They differ what?!!
Kwanza uje nikukague ili nikupe tofauti vizuri.