Cheka kidogo

Cheka kidogo

Haaa haa haaa we kiboko ungenifanyia mimi hivo siku hiyo hiyo ndo ingekuwa bye bye!...see mi na tabia hii lakini sio kama namdokolea lahasha! Jus show love to him, kuwa tuko pamoja! We inaonekana hujui hata kubembeleza/ kubembelezwa utakimbiwa coz wanawake wanapenda kudeka sana shauri yako!
Hakuna cha kubembelezana hapo.. Huo ni uroho tu.
 
Ndo nyie nyie mkimwagwa mnakuja humu na kulia lia ovyo mmeachwa!...vitu kama hivi vidogo vidogo vinaenhance mapenzi...ubabe peleka MUSOMA.

Nakuaminia Mkuu umewatell truth huo ni upendo sio uroho.haahaaa umenifurahisha uliposema ubabe apeleke Musoma km umewapatia vile ni wa kulekule
 
Haaa haa haaa we kiboko ungenifanyia mimi hivo siku hiyo hiyo ndo ingekuwa bye bye!...see mi na tabia hii lakini sio kama namdokolea lahasha! Jus show love to him, kuwa tuko pamoja! We inaonekana hujui hata kubembeleza/ kubembelezwa utakimbiwa coz wanawake wanapenda kudeka sana shauri yako!

Noo... Nimekuruhusu chagua chochote unajivunga. Mimi nachagua kitu cha maana unanidokolea, unatafuta vita. Mbona alirudi na kurudi na kurudi. Kwa sababu ukiachilia mbali chakula kuna vitu adimu anapata.
 
Sikushangai.

Toka lini mchagga akajuwa maana ya mahaba!
 
Hapana. Wanashika shika vitu vingi sana. Utakuta mara akutumbue kipele. Mara akutoe kauchafu. Mara akushike kidefu. Hapo mnakula.
Hahahaaa, mkuu umenipiga chenga sio, wafundishwe wakishanawa wasishikeshike vitu watakula uchafu
 
Hapana mimi wa kabila lingine kabisa. Ni vile sitaki mchezo. Ale chake kama hajashiba aseme, nitanunua kingine. Ishanitokea, kudokolewa mishkaki yangu kwa kuwa ni mingi na yeye kaagiza miwili tu wakati nilimuambia agizia chochote. Nikaita muhudumu nikamwmbia mpe mishkaki kumi huyu. Ili aache kula ya kwangu.

Hahahahaha kwel we smart
 
Back
Top Bottom