Check bi harusi alivyowaka/ ng'ara!

Check bi harusi alivyowaka/ ng'ara!

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
13029_726018820844548_3244728759992386220_n.jpg

source: https://www.facebook.com/TanzaniaInformationServicesmaelezo
 
Mwanamayu, huku ni kuingilia privacy za watu!. Kutoa picha facebook na kuileta humu kwa lengo la kumdhalilisha mdada wa watu kwa sababu tuu ya rangi yake, sio kumtendea haki!.

Ila pia kwa sisi tuliopita pita huku na kule, ..... ya kitu black inakolea kuliko kitu white!, sambamba na taste ya kitu natural inakolea kuliko mikorogo!. Black is always beautiful!.

Kuhusu wanawake weusi na weupe, tumewahi kuwazungumza sana humu!.
[h=3]Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. [/h][h=3]Tatizo wasichana black beauty ni wachache sana kuliko weupe![/h][h=3]Ni kweli wanawake weusi ni watamu kuliko weupe? [/h][h=3]Wanawake weusi wana joto zaidi ya weupe - [/h][h=3]Mwanamke mweusi jamani [/h]Pasco
 
Safi sana, amewakilisha vyema. Black women ni bidhaa bora na black color ndiyo rangi bora duniani. Ila white na nyinyi nawapenda sana pia maana mnao mvuto wa ajabu.
 
Sijapenda huyo kaka namjua ila kuingilia privacy ya mtu na kuweka hadharani bila willing yake tena kwa kejeli ni ujinga na ushamba na umedhihirisha level ya foolishness yako!
 
Mwanamayu, huku ni kuingilia privacy za watu!. Kutoa picha facebook na kuileta humu kwa lengo la kumdhalilisha mdada wa watu kwa sababu tuu ya rangi yake, sio kumtendea haki!.
Pasco
Hivi mwenye picha karuhusu au kapost mwenyewe?

Ni kweli hawajamtendea haki!.

Isije kuwa amenyang'anywa tonge mdomoni....yani kavurugwa
 
Da! Picha ya mdogo wangu hii, hivi JF sheria zinasemaje kuhusu kupost kitu ambacho hakijapata idhini ya mwenyewee? Iondoeni hii picha.
 
Kuna watu waji nga sana. Wewe hata mavi hujui tengeneza lakini una thubutu kukosoa au kucheka uumbaji wa binadamu mwingine. This is soo absurd. And she is a beautiful woman. Na hata kama wewe humuoni mzuri anakupunguzia nini. Watu wa namna yenu maisha yanakua yamewa shinda,mna low self esteem na deep pains and resentment inside.
 
Mwanamayu, huku ni kuingilia privacy za watu!. Kutoa picha facebook na kuileta humu kwa lengo la kumdhalilisha mdada wa watu kwa sababu tuu ya rangi yake, sio kumtendea haki!.

Ila pia kwa sisi tuliopita pita huku na kule, ..... ya kitu black inakolea kuliko kitu white!, sambamba na taste ya kitu natural inakolea kuliko mikorogo!. Black is always beautiful!.

Kuhusu wanawake weusi na weupe, tumewahi kuwazungumza sana humu!.
Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!.

Tatizo wasichana black beauty ni wachache sana kuliko weupe!

Ni kweli wanawake weusi ni watamu kuliko weupe?

Wanawake weusi wana joto zaidi ya weupe -

Mwanamke mweusi jamani

Pasco

Hivi mwenye picha karuhusu au kapost mwenyewe?

Sijapenda huyo kaka namjua ila kuingilia privacy ya mtu na kuweka hadharani bila willing yake tena kwa kejeli ni ujinga na ushamba na umedhihirisha level ya foolishness yako!

Ni kweli hawajamtendea haki!.

Pasco

Isije kuwa amenyang'anywa tonge mdomoni....yani kavurugwa

Da! Picha ya mdogo wangu hii, hivi JF sheria zinasemaje kuhusu kupost kitu ambacho hakijapata idhini ya mwenyewee? Iondoeni hii picha.

Kuna watu waji nga sana. Wewe hata mavi hujui tengeneza lakini una thubutu kukosoa au kucheka uumbaji wa binadamu mwingine. This is soo absurd. And she is a beautiful woman. Na hata kama wewe humuoni mzuri anakupunguzia nini. Watu wa namna yenu maisha yanakua yamewa shinda,mna low self esteem na deep pains and resentment inside.

1. Facebook ina settings za privacy ambapo mwenye akaunti anaweza kuamua kuweka picha au ujumbe kwa ajili ya 'public' au aka-restrict kwa ajili ya friends wake; hii picha ipo kwenye public kwa ajili ya public consumption;
2. Hivi maana ya 'kuwaka' au 'kung'ara' ni kumdhalilisha mtu? Hivi tunapoimbaga 'ana meremeta' huwa tunawatukana ma-bi harusi? kung'ara/ kuwaka na kumeremeta tofauti yake ni wapi?;
3. wote mlionishambulia kuwa nimemdhalilisha huyo bi harusi na bwana harusi ni kutokana na mitazamo yenu yaani mmeniwekea hayo maneno ambayo sio yangu ni ya kwenu; hamtaki kusikia nilichoandika bali mnataka kisikike kwa jinsi mlivyoandika,
4. picha nimeiwekea source, hivyo sijavunja sheria yeyote; pia ipo tayari online ambapo kila mtu anaiona; hivyo platform sio issue kabisa i.e. kugongwa ni kugongwa tu iwe na pikipiki au gari aina yeyote;
5. Je ni sahihi kuweka picha binafsi kwenye Facebook ya serikali? Mbona ili hamjaliona na kulitolea maoni?
6. Wahusika wenyewe wanaipenda hiyo picha mpaka wameiweka kwenye 'virtual world' publicly, iweje nyie michukie kiasi hicho jamani?
 
Back
Top Bottom