Check bi harusi alivyowaka/ ng'ara!

Check bi harusi alivyowaka/ ng'ara!

1. Facebook ina settings za privacy ambapo mwenye akaunti anaweza kuamua kuweka picha au ujumbe kwa ajili ya 'public' au aka-restrict kwa ajili ya friends wake; hii picha ipo kwenye public kwa ajili ya public consumption;
2. Hivi maana ya 'kuwaka' au 'kung'ara' ni kumdhalilisha mtu? Hivi tunapoimbaga 'ana meremeta' huwa tunawatukana ma-bi harusi? kung'ara/ kuwaka na kumeremeta tofauti yake ni wapi?;
3. wote mlionishambulia kuwa nimemdhalilisha huyo bi harusi na bwana harusi ni kutokana na mitazamo yenu yaani mmeniwekea hayo maneno ambayo sio yangu ni ya kwenu; hamtaki kusikia nilichoandika bali mnataka kisikike kwa jinsi mlivyoandika,
4. picha nimeiwekea source, hivyo sijavunja sheria yeyote; pia ipo tayari online ambapo kila mtu anaiona; hivyo platform sio issue kabisa i.e. kugongwa ni kugongwa tu iwe na pikipiki au gari aina yeyote;
5. Je ni sahihi kuweka picha binafsi kwenye Facebook ya serikali? Mbona ili hamjaliona na kulitolea maoni?
6. Wahusika wenyewe wanaipenda hiyo picha mpaka wameiweka kwenye 'virtual world' publicly, iweje nyie michukie kiasi hicho jamani?
Sasa mbona unalialia wewe?
Mie nimeuliza tuu Mwenye Picha Karuhusu au Kapost mwenyewe?Mengine sijui hizo takataka umetuuliza mie hazinihusu.
 
Back
Top Bottom