SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,410
Dah, mpaka jmos tena? Hii ndio wanaita 'mateso bila chuki'
Aseee Kiga we shidaDone

Obheja nhoi, mbehe bheHapana mkuu. Tatizo muda tu. Ikifika jmosi kama hivi ndo napata fursa ya kuandika
kaharibu uhondo
Ije jana na leo😁😁Kama nlivyosema weekend hii nimeandika ndefu. So kuna episode nyingine ya kuendeleza ilipoishia hii. Uamuzi ni wenu, ije leoleo, kesho kumalizia weekend au katikati ya wiki?
Nasema abarikiwe zaidi kwa kutuletea uhondo kwa gharama ya kuchaji simu pekee kwasisi wa freebasics.