Episode 9.
Zoya
Mlinimiss eeh? Hahahahaha I missed you too. Sometimes najiuliza hii story ni kunihusu mimi au Ras, Hahahaha. Anyways tuachane na hayo, ila story hii bado mbichi ndugu wasomaji. The last time tumeonana nliwahadithia siku namuona Ras anauza vitabu posta, right?
Basi bwana, that day baada ya kuhakikisha ni yeye, na kuwa hali yake inaonekana kuyumba sana, nlirudi kwenye gari nikakaa kama nusu saa. Nikawa nafikiria since first time namtia machoni Ras. Nisiwaongopee ndugu wasomaji, nliinama kwenye usukani nikalia.
I cried for all that was supposed to happen bt didn’t. Nlimhurumia pia, ila nikaona ni adhabu tosha kwa Marga. Ingawa anayeteseka ni Ras, ila nlijua huko aliko Marga anaumia pia. Acha waumie. Nikafanya maazimio ya kutowashobokea na familia yao.
Kumuona Ras ikawa imenipa kama utulivu flani wa moyo na akili. Sikua nawaza sana kuhusu yaliyotokea. Hii ikanipa chance ya kuanza kumlegezea Diop. Akawa akipiga napokea, msg najibu, outing nazikubali, hivo yani. so tukajikuta tuko close sana yani.
Diop ni mtu flani mcheshi kinoma. Alafu he was a business genius. Tangu amefika ameshaestablish kampuni mbili, moja ya security nyingine ya kilimo cha maua. Na kwa jinsi anavyoielezea mipango yake bila shaka atamake pesa ya kutosha. Zaidi ya yote alionesha kunipenda kwa dhati. Yaani kuacha vinono vya ulaya na kuhamia bongo kuja kuanza upya just for me ilikua ni ishara tosha ya upendo wake kwangu.
Kama nlivyosemaga mwanzoni. Ingawa niko na pesa ila sikupenda kujionesha sana. Badala ya kukaa mbezi beach au masaki labda, nikapanga nyumba mitaa ya kijitonyama. Oneday Diop alikua amekuja dsm from Arusha kwenye mashamba yake ya maua. Pamoja na kuspend time mara kadhaa na Diop, ilikua bado sio wapenzi. We were just friends.
That day akashauri tukapate indian food mahala, maana ilikua favorite food yake. Kilichokua kinanishangaza, hakua anagusia kabisa suala la kuwa wapenzi. Alikua anainjoi tu my company mwenyewe anasema. Bas that day baada ya dinner akanirudisha mpaka home. Kufika home tukafunguliwa geti na mlinzi, akapaki na tukashuka kwenye gari, then nashangaa mtu ananifuata mpaka mlangoni. Mi nlitegemea ataniaga asepe.
Wakati nashangaa whats happening, nikaona Diop ananisogelea, kanisogezea lips . Of course sikuzipokea. Bt akawa ananiwekea tu, nikikwepesha kulia anazifuata, kushoto hivohivo. Mpaka ikabidi anishike kichwa nisimove. Ndo kunigandamizia lips zake kwenye zangu sasa. Ule usoft wake ukanilainisha kidogo, nikazitanua lips zangu na kumpa mwanya akaanza kuzimung'unya. Yaani kama mlinzi alikua anaona kinachoendele naamini siku hiyo hakulinda hahaha.
Ingawa nlikua natoa ushirikiano nusunusu, sikuweza mzuia alipofungua mlango na kunikokotea sebuleni. Akiwa bado anainjoi lips zangu, akanikalisha kwenye sofa. Akaanza kupapasa paja zangu. Mikono yake ikaendelea kutalii mpaka juu kule paja zinapoishia. Alipogundua kuwa chupi nliyovaa ni ile ya vimikanda tu na eneo kubwa la tako liko wazi nikaona pumzi yake inabadilika.
Hakunipa nafasi ya kubadili mawazo. Ndani ya dkk chache ashafungua zipu ya gauni nlilovaa na kulishusha mpaka kiunoni. Alivyo mtata akanitoa kabisa na bra. Kifua chote wazi. Nkawa naona ona aibu pale, eti najifunika macho, hi hi hi. Aibu zangu hazikumzuia kucheza na kifua changu. Zile chuchu zilipata shida siku hiyo. Baada ya muda aibu zote kwishnei. Nkawa natamani anifanye saa ileile maana Huku chini nlikua nshaloa sana. Sikutaka kuendelea kuteseka, nikajilaza pale kwenye kochi nikajitenga mlalo wa kuliwa.
Jamaa hakuangaika hata kuvua nguo, alifungua zipu tu. Gauni langu akalipandisha likajikusanya juu ya kiuno. Utam wote wazi, kwa ajili yake, anifanye niridhike. Diop hakuchelewa, akamtoa babu juma, akanilalia kwa juu. nikamsaidia kubenjua chupi kidogo, akapata chance ya kupenya.
Baada ya karibu miaka miwili nikawa nimefanya mapenzi tena. Usiku ule Diop alilala kwangu. Na ndo ukawa mwanzo wa mapenzi yetu mubashara.
Baada ya miezi kadhaa kupita, si nikapita tena pale anapouzia vitabu Ras. Sjui hata kwa nn nliamua kupita. Cha ajabu sikumkuta. Nikawa najiuliza what happened to him maana vitabu vipo ila yy hayupo badala yake kuna binti ndo yupo pale. Nikatamani kufahamu kinachoendelea. Ndo maana Harmonize aliimba, “……. Wa kuku-unfollow nitakua mie…” hahahahah. Ila kiukweli sio kuwa nlikua namtaka Ras, ila nlitamani tu kujua what’s going on in his life. Sikupoteza muda. Nlipopata mahala nikapaki gari nikarudi mpaka pale kwa mguu.
“Karibu dada, kuna vitabu vizuri vya hadithi, biashara, dini na hata elimu, chagua", ilikua ni sauti ya huyu binti ambaye baadae nlikuja jua anaitwa Zahra. Nikawa najidai nachagua chagua pale, nikachukua kimoja nikaulizia bei. “5000/= tu dada yangu, na unajua kweli kuchagua vitu vizuri", nikajikuta natabasam. Zahra alikua mchangamfu balaa, alafu anasmile moja matata. Ni ndugu wa Ras au wa Marga? Nikawa najiuliza.
“nina hitaji pia vitabu kwa ajili ya kituo cha watoto, so nataka niwe nachukua hapa kwako ili kukupa support “ nikamueleza huku naona namna ambavyo anafurahia na kushangaa kwa wakati mmoja. “ni biashara yako?”, nikamuuliza. “hapana ya kaka yangu, hua anakuepo hapa mpaka saa nane alafu mm napokea mpaka jioni", akanipa maelezo ambayo walau yalinipa mwanga wa kuwa Ras bado yupo mjini hapa. “Mbona anakupa jukumu zito wakati bado unatakiwa uwe shule?” nikamuuliza maana kwa umri wake nlijua kabisa anapaswa awe sekondari. “nasoma asubuhi mpaka mchana, nikitoka shule ndo nakuja hapa ili na yeye aende chuo". Jibu hili likanipa ham zaidi ya kupata details. “chuo anasoma?” nikauliza, “yeah anachukua masters ya sheria UD".
Sikutaka kuendelea zaidi, bt nikajikuta nimenunua vitabu vitano pale then nikasepa. Kufika kwenye gati nikavitumia kweye buti, mimi sinaga hobbie kabisa ya kusoma vitabu, yaani labda inilazimu ila kwa hobbie tu sina biyo interest kabisa. Kusikia Ras karudi kusoma nlijikuta nampongeza kimoyomoyo, walau amefikiria la maana. Elimu ni kama ngazi, ukiipanda unapata fursa ya kuona mbali zaidi.
Ingawa Zahra aliniambia Ras ni kaka yake, sikuamini kama ni kweli maana ingawa sijawahi kutana na familia ya kina Ras lakini nawajua ndugu zake wote kupitia picha. Kwa kuwa maswali yalikua mengi, nikaazimia kurudi pale kesho yake. Na ndivyo nlivyojikuta namzoea Zahra. Marq kwa mara jioni nlikua napita pale tunapiga story. Na kupitia yeye nikajua Ras ashakimbiwa na Marga. Marga anaishi na Albert. Na life ya Ras kwa sasa kiujumla. Nikajikuta namhurumia Ras na maisha anayoishi sasa.
Nlijua Ras anastahili msaada, na nisingeweza kumpa hela Zahra ampelekee, msaada wangu ukawa kuhakikisha kila siku vitabu vitano au zaidi vinanunuliwa pale. Hata kama sio kupitia mm, sometimes nlituma watu wanunue ili tu isionekane nina agenda binafsi. Kingine nikamshauri Zahra waongeza varieties za bidhaa nyingine pale walipo, nikamwambia amshauri kaka yake aweke vitu vya kiras pale atapata wateja, na kweli baada ya mwezi nikaona kuna tshirts, kofia, culture, slippers yaani wakafuata ushauri.
Ingawa nikawa napata taarifa za Ras, ila penzi langu lilikua kwa Diop. Nikawa sasa niko radhi hata kuolewa na Diop. Biashara zake zilikua mno, alikua na pesa balaa. Nlikuaga naendesha Nissan Xtrail, ila Diop akaninunulia Prado VXL moja matata kinoma. Sikua na haja ya kuhangaika tena. Diop alionesha kunipenda, kunijali na kuniamini. Hakua mtu wa kunilimit au kunifuatilia sana, na pia alinipa uhuru kwenye maisha yake. Yaani muda wowote naenda ofisini kwake, na yule secretary wake alikua akiniona tu shughuri zote zitasitishwa nipewe macare kama mm ndo mkurugenzi.
One day mida ya saa kumi nikasema nikapige story na Zahra. Nikawa nimejiaminisha atakuepo maana ndo mida yake hivyo sikuwa hata nimehangaika kuangalia mahala kijiwe chao kilipo. Ile nafika ndo namuona Ras. Nikatamani nirudi nlikotoka mbio, ila nikajua ataniona nakimbia then ahisi I still care au namuogopa.
Ras mwenyewe alionekana yupo kwenye lindi la mawazo. Ndo yule shoe shiner akaanza kuniongelesha pale. Mara Ras akawa kama kashtuka kutoka alichokua anakuwaza, ndo kuniangalia sasa, macho yakagongana akasimama. Cha ajabu nikuwa sikuweza hata kumsalimia. Sanasana hasira tu zilinijaa kwa alichonifanyia. Tukabaki tunaangaliana.
Mara ghafla si naona mwenzangu machozi yanamtiririka. Sijawahi muona Ras akilia. Yale machozi yaliusuuza moyo wangu. Hakuwahi niomba mshamaha ila palepale nikajua moyo wangu ushamsamehe Ras. Kwa kuwa mwanaume kulia, tena kulia hadharani ni aibu, akawa anajifunika uso kwa mikono. Ikabidi nimsogelee, nikazungusha mikono begani kwake, akatuliza kichwa chake kwenye bega langu, halii kwa sauti wala hatingishiki anabubujika tu michozi.
Baada ya kuona people zinaanza kujaa pale, nikamwambia twende. Nikamshika mkono nikawa namuongoza nlipokua nimepaki gari. Huku nyuma nikawa nasikia watu wanapiga shangwe, wengine miluzi wengine wanasema eti “mbele ya mwanamke hata magangster wanalia….”. nikamfungulia mlango wa gari akazama. Then nikazunguka upande wa dereva, nikawasha ndinga. Sikujua hata tuende wapi jioni ile.
Break ya kwanza Nyumbani restaurant. Nikamkuta Komando mama Samfood mwenyewe, ananijua mteja wake. Bahati mbaya kumbe siku hiyo walikua wanafanya renovation jikoni so hawakua wanapika. Nikamwambia vinywaji tu vinatosha. Akanikaribisha tukakaa na Ras.
“Mambo Ras", nikamsalimia. Akatabasam, of course hatukua tumesalimiana mpaka muda huo. Hakujibu. “how is Marga?”, nikawa najidai sielewi kitu ili apate uchungu wa kunieleza. “siko nae tena, alichukuliwa na mfanyakazi wangu yule Albert". Wakati anaongea mhudum akafika. Nikashangaa Ras anaagiza Safari. Tangu namfaham hajawahi kunywa pombe. Sikuuliza chochote. Mi nikaagiza zangu wine flani nyepesi sana.
Baada ya vinywaji kuja, Ras akaanza kufunguka A to Z. Nikastaajabu aliposema hata ule mpango wa kutuachanisha na yeye uliosukwa na Marga alikuja kuelezwa na Albert, ila kwa kuwa Marga alikua tayari anamtoto wake hakutaka kuchukua hatua. Kilinachomhuzunisha na kumpain Ras mpaka wakati huu ni yule mtoto, maana alijua kabisa ni wake ila kwa kuwa mama mtu ndo kashaamua kusema vile hana budi kumkubalia.
Amemaliza kutoa story yake usiku ushaingia. Na kwa muonekano wake alikua hajala siku nzima huyu mtu, nikaona sio mbaya nimtafutie msosi. Tukaingia kwenye gari mpaka millennium towers pale. Bahati mbaya na penyewe ile restaurant tukakuta hakuna msosi. Dah. Ras akasema nimuache tu aende akale home, mdogowake atakua ameshapika. Wakati nataka nimpeleke akapokea simu ya huyo mdogo wake. Kuuliza anasema dogo anaomba radhi amechelewa maana wanafanya majaribio ya mitihani ya practical za form four now. Nikawa sina jinsi, nikampeleka home nikampikie.
Kufika home, nikamkaribisha akakaa kwenye sofa. Lilelile tunalotianaga na Diop, kidogo nimkataze asikae hahaha. Mawazo haya ya kijinga ndo yakafanya ni.kumbuke mpenzi wangu Diop. Ikabidi nimpigie simu kumwambia tunawageni. Hakupokea. Nikapiga tena, akapokea tule secretary wake, akaniambia bado wako ofisini ila ametoka kidogo akirudi atanipigia. Kweli after few minutes akapiga. Wala hakua na shida. Ndo uzuri wa kudate na wazungu. Hawana conclusion za kipuuzi. Ila Diop akaniambia hata rudi maana inabidi asafiri kwenda arusha that same night. Ni safari ya ghafla ndo maana hajapata wasaa wa kuja hata kubadilisha. Akaahidi kunipigia akifika Arusha.
Nikaanza kuandaa pale mchemsho wa kuku. Nliona ndo msosi wa fasta. Nikachanganya huko viazi, ndizi, hoho, karoti, vitunguu, pilipili na viungo flani hivi vimechanganywa tangawizi na vitu gani sjui. Haikuchukua muda vikawa tayari, nikatenga tukaanza kula. Akaomba pia nimpe upande wangu wa story tangu tumeachana. Nikampa full picture. Mambo mengine hata Diop sijawahi mwambia bt nlijikuta namhadithia Ras.
Baada ya menu nikasema kabla sijampeleka kwake anisubiri nioge. Nikamuacha kajinyoosha kwenye sofa anacheki TV. Kule bafuni nikashangaa naanza pata mawazo ya namna Ras alivyonifumua siku ile bafuni Arusha. Nikayapotezea fasta. Siwezi kuwa msaliti wa namna hii, tena kwenye the same house….No.
Baada ya kuoga nikaenda room, nikatinga jeans yangu na tshirt ili nimpeleke huyu mvuta bangi kwake. Kufika sebuleni nashangaa mtu keshasinzia longtime. Kijasho tu kinamtoka. Nikajua ni shibe ya ghafla baada ya kushinda na njaa the whole day. Na nnavyomfaham Ras akishasinzia kumuamsha ni shughuli, labda uje na maji. Nlichofanya nikaadjust kiyoyozi ili asiteseke na joto, then nikachukua computer yangu nifanye vijikazi kadhaa vya ofisini kwangu.
Kwani kazi zilifanyika basi…. Kila mara namcheki Ras. Sijui ni kale kaubaridi ka kiyoyozi au alikua anaota, maana mashine yake ilikua imetuna ndani ya suruali yake. Mwanzo nikawa naiangaliaaa then natabasam tu.. ila baada ya muda nikaanza kukumbuka yasiyopaswa kukumbukwa. Ule ukubwa na utam wa lile hogo ukawa unapita kichwani kwangu kwa awamu kama feni yenye panga moja, vuuum, vuuum, vuuum.
Ikabidi niondoke pale maana nikaona siconcentrate na nnachofanya. Nikaenda bedroom nikajilaza kitandani. Sikuchukua muda usingizi ukanipitia. Kuja kustuka nikacheki saa ya kwenye simu ni saa saba na nusu usiku. Missed calls kama zote kutoka kwa Diop. Nikampigia, hakupokea. Baada ya muda simu akazima kabisa. Itakua kamind au?
Ikabidi nibadilishe nguo ili nilale vizuri maana nlikua nmelala na nguo nlizovaa nikitaka kumsindikiza Ras. Nikapiga nightdress yangu ya pink, nikarudi bed. Badae nikakumbuka Ras hana shuka pale alipo, nikasema ngoja walau nikamfunike.
Kufika kwenye kochi alilolala nikaona alijiweka comfortable zaidi. Maana alikua kavua shati ila alirudi usingizini tena. Nikalinyoosha shuka nikaanza kumfunika miguuni, nlipofika kiunoni macho yakagota mashineni. Walahi kidogo nimguse sema nikajizuia. Nikaendelea kumfunika hadi kifuani, pale kifuani ndo pakawa hapafunikiki, maana kila nikipafunika napafunua tena kupaangalia, jamani, nyie acheni tu, Mungu anajua kuumba.
Katika kushangaa kwangu, si Ras akastuka. Akanikuta nimepiga magoti nimeshika shuka, niko karibu kabisa na alipo. Macho yakakutana, akasmile. Sjui hata alichotabasamia. Bt kuna mtu alisema tabasamu huambukiza, nikajikuta nasmile pia. Macho yake yakahamia kifuani kwangu, na mm nae badala niondoke nikabaki tu pale najishangaa kwa nn siondoki.
“Asante kwa shuka Zoya, nlishaanza hisi baridi", maneno yake ndo kama yakanizindua hivi. Nikasimama, najua alitamani walau aniguse maana hiki kinight dress changu kwanza ni kifupi alafu transparent. Sikuatka kujifichaficha wala sikua na aibu, kwanza Ras hakuna kitu changu hajawahi kiona. Wakati naondoka nikamgeukia, nikakuta kanikodolea mimacho. Yani wanaume, matako yaliwafanyaje hahahah.
“Unaeza lala chumba cha wageni utakua comfortable zaidi", nikamwambiankwa sauti yangu ya upole. akafikiria kwa muda akasema poa. Nikamuonesha kwa ishara “ni mlango ule wa mwisho, hakiko organized sana utanisamehe" akaitikia "usjali, u have been very kind". Nikamuacha. Sku hiyo usingizi ulikuja kwa taabu. Yaani kukawa na mgongano wa mawazo kichwani. Maana sielewi what im going through. I love Diop, tena sana, ila mbona mbele ya Ras napoteza netwek.
Asubuhi nimeamka mapema tu,. Najuaga Ras anapenda kahawa, so nikamtengenezea na sausages kadhaa na kumkaangia mayai nikaviacha mezani nikarudi room. Then nikakumbuka ile room ya wageni alikolala Ras ndo nimevitupia vitabu vyote ambavyo nlikua navinunua kule kijiweni kwake. Nikapanik, maana akiviona sijui atareact vipi.
Ghafla mlango wa chumba changu ukafunguliwa, kabla hata sijakasirika, kushangaa au kugomba kwanini anaingia room kwangu bila hodi, nikamuona Ras amesimama mlangoni mkononi kashika vitabu kadhaa nlivyonunua kwake. Nikajaribu kumsoma reaction yake wala hasomeki, ananiangalia tu, na mm namuangalia.
“So its you", ndo maneno yaliyomtoka hatimae. Nikaitikia kwa kichwa tu maana sikujua natakiwa niombe msamaha au nijisifu. Nikawa nimetizama chini. Nikahisi ananisogelea, kuinua kichwa huyu hapa kashafika. Machoni kwake machozi yakawa yanamlengalenga. Kwa huruma nliyonayo, nikashangaa mm ndo nadondosha chozi la kwanza. Akanihug, ile kwa nguvu kama anaogopa nitakimbia. Ndo nikaona nae analia. Ikabidi nimbembeleze, shhhhhh, don’t cry man. Don’t cry
“Thank you", akajikuta anatamka baada ya kumtuliza. Akataka kujichomoa nikamng'ang'ania. Akabaki ananiangalia. Ras nae, hajuagi hata kujiongeza. Ikabidi mimi ndo nimsogezee lips. Akazipokea vizuri tu. That kiss reminded me of so many moments with him. I felt like home in his arms.
Bahati mbaya au sijui niseme nzuri, nlikua nimevaa hivi vibukta vifupi vya cotton, na sikua nimevaa chupi ndani. Huku juu nlikua na tshirt flani pana la kilimanjaro marathon lakini fupi, yaani nikinyanyua mikono kiuno kinakua wazi ila nikiishusha inakifunika. So Ras akawa anaenjoy tu mwili wangu. Anatambaa kutoka kiunoni hadi kifuani. Mguso wake ulinipa raha ya hatari, nikawa najihisi kama yani amenizunguka kila eneo la mwili wangu. Nilivo fala eti nikaingiza mkono kwenye suruali yake nimguse mashine yake, ebana eeh, nlivoishika nikahisi natoka vipele vya msisimko.
Akanibeba akanirushia kitandani. Ile kunibwaga kitandani, miguu ikawa huku na huku, na kwakuwa sikua nimevaa chupi, akawa ameona kila kitu. Alichofanya kabla hajapanda kitandani akavua nguo zake zote. Utafikiri nlikua nimesahau Ras anadude kubwa, nikajikuta nashangaa kabisa kama ndo namuona mara ya kwanza. Akatabasam. Nikaona namm nitoe zangu. Tukabaki watupu kabisa, tayari kwa mechi.
Mara nasikia honi nje ya geti. Nikashtuka, ikabidi nikurupuke nivae fasta. Ras nae akabeba nguo zake mkononi kaenda room kwake…
Tukutane jumamosi Mungu akitupatia uhai.
Wasalaam
Kiga.