Cheap car from India | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheap car from India

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MaxShimba, Jan 15, 2010.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  DETROIT (AP) -- The world's cheapest car is being readied for sale in the U.S., but by the time India's Tata Nano is retrofitted to meet emissions and safety standards, it won't be that cheap.

  [​IMG]
  Tata Nano (AP Photo/Ajit Solanki, File
  Tata Technologies Ltd., the global engineering arm of the Tata group conglomerate, brought the tiny car to Detroit as a publicity stunt for the engineering group.


  Tata officials, while maintaining that they couldn't speak for Tata Motors, maker of the $2,500 Nano, said they were involved with the Nano from concept until it launched last July in Mumbai.

  http://autos.yahoo.com/articles/autos_content_landing_pages/1273/cheap-car-from-india-could-cost-8000-in-us/

  Ile kampuni ya Nyumbu ilifia wapi?
   
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Wakati TATA wanaanza sisi Tanzania tulikuwa na NYUMBU. Wenzetu down the line bado wamo sisi hata harufu hakuna.
   
 3. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Ebwana Nyumbu ipo ingawaje hatuwezi linganisha na Tata, bt fika ktk 77 day dis yr, utaona mambo yao, kutakuwa na Lorries 4 sale from nyumbu.
   
 4. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hili gari nimelisikia tangu mwaka jana na nina hamu nalo kweli ilia angalau nami niweze kujinunulia na kutekenya gari jipya! Bahati mbaya sijawahi kuliona hapa Bongo, sijui kwa nini. Naamini kuna Watanzania wengi ambao hatujawahi kumiliki magari mapya zaidi ya mitumba ya Kijapan, ni \vema watuletee hapa kwetu.

  Nyumbu ilitelekezwaga baada ya Nyerere kung'atuka na hata yale magari yao yaliyokuwa yakiendesha Jeshini nadhani hayapo tena. Si wajua kununua magari mapya kutoka nje ya nchi kuna kamisheni? Jamaa wa Nyumbu wamebakia kubuni mashine rahisi kama za SIDO, imebidi wafanye hivyo maana Serkali ni kama imeshawaacha.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Ibrah,
  Siku moja tutamkumbuka Nyerere. Hata viwanda alivyoanzisha ni kama tumevitupa kama majamvi machafu kupitia madirishani. Tanzania hiyo!
   
 6. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2010
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kuna tugari twa design hii(Picha chini) nimetuona sana Seattle na Oregon tunaitwa smart tunauzwa bei ghali sana, kulinganisha na size yao.
  http://www.smartcenterseattle.com/
  [​IMG]
   
Loading...