Chawa wapandisha site fake kwa niaba ya CHADEMA

Chawa wamechachawa la kufanya halijulikani.

Mwenye chawa kawaasa kiutu uzima kujikita kwenye kujibu kwa hoja wala si matusi.

"Mezani kuna ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, kodi, tozo na uwajibikaji. Mzizi mkuu ukiwa katiba"

Majibu ya hoja wakayapate wapi sasa huku nao ni wahanga tu?

Eti kumbe huu nao ni ujanja wao. Hivi wamepandisha site hii kinyume ya sheria zote za copyright: www.chadema.org

Chadema ni haki yenu kufuatilia kuishusha chini hii site.

Haipo shaka kuwa ni yenye kumilikiwa na chawa uchwara hawa hawa.
Binafsi sijaelewa.
 
Jee Chadema wame patent neno Chadema?. Kama wamepatent then they go forward
Mkuu, Pasco wewe umesomea sheria hivi kweli kwenye intellectual property rights unaweza ukapata patent ya jina ? Are you serious ? ninaanza kupata mashaka na taaluma yako😳
 
Hali wengine wakivuta "Cha Arusha"

Wengine wanafuga "Chawa"

Wananchi wanabaki kuuliza, mpoje? Nani 'Mwendawazimu'? Kati yenu.

Je wenye hoja wana hoja au ni madongo? (uhasama)?

Je, na wenye kujibu hoja wanajibu kwa hoja au ni "childish propaganda" (kutifuana, matusi na kejeli)?

Ikibidi vyama vyote vikose kura tuwachague aina ya 'Ndugai'

CHADEMA acheni, bangeee ya 'Cha Arusha'
CCM mjikoshe, mnafuga 'chawa'!

ni 'Uwendawazimu'

Kitaeleweka
 
Back
Top Bottom