Chawa wapandisha site fake kwa niaba ya CHADEMA

wamepandisha site hii kinyume ya sheria zote za copyright: www.chadema.org
Nimetembelea hii site, what is wrong with this site?.
  1. Kwani neno Chadema ni patent name?.
  2. Ukisema au ukiandika Chadema lazima umaanishe ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo?.
  3. Kama Chadema sio patent name ina maana ni neno ambalo halina copyright na mtu yoyote yuko huru kulitumia neno hilo vyovyote vile anapenda ikiwemo kupandisha website ya Chadema na kuweka kitu chochote kwenye website hiyo!.
  4. Jee kuna taasisi yoyote inayouzwa Chadema.org?. Kama hakuna taasisi yoyote iliyosajiliwa mahali popote duniani kwa jina la Chadema.org, then mtu yoyote yuko huru kusajili taasisi yenye jina la chadema.org na yuko huru kupandisha website ya chadema.org na akawa hajafanya kosa lolote la kimtandao.
  5. Na sio tuu kila mtu yuko huru kuannzisha chadema.org bali pia yuko huru kupandisha ccm.org, samia.org, kikwete.org, brazaj.org, or any other org with anyname na akawa hajafanya kosa lolote la kimtandao.
  6. Kwa taarifa yako, zaidi ya hii jamiiforums yetu, kuna website ya jamiiforums.halisi!. Zaidi ya taasisi ya Maxence Mello inayo host jamiiforums hii yetu ambayo ni Jamii Inc. Kuna Jamii Media ya Mike Mushi ambayo nayo ina run jamiiforums yake!.
  7. Kama kwenye hiyo chadema.org wangeandika chochote kuhusu kuwa hiyo ni website ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo yaani Chadema, hapo sasa Chadema ndio have the right kuingilia
  8. Kama wameweka offensive contents, kama child sexual abuse material za pornography or any content that depicts sexually explicit activities involving known people, unaweza kuwaripoti
  9. Kama ni website ya kutukana viongozi au kuhamasisha jambo lolote linalokwenda kinyume cha katiba, sheria, taratibu, kanuni, desturi, maadili ya kitanzania, unaweza kuwaripo!.
  10. Lakini hiyo website imeweka picha moja tuu ya mtu yenye maneno ya kumpongeza huyo mtu, bila neno jingine lolote, ina tatizo gani hadi ifungwe?.
Sio kila neno CCM ni Chama
Cha Mapinduzi, so does sio kila neno Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Mifano ipo!.

P
 
Matatizo ya website hii kwa uchache yanaangukia hapa:

1. Impersonation - ma CCM kujifanya Chadema kupenyeza agenda zao kinyume cha utaratibu.

2. Infringement of copyright laws - Chadema hapa nchini ni neno linalomilikiwa kisheria hapa nchini ikiwamo chini ya sheria za copyright. Ni makosa kutumia neno hilo rasmi kiushindani bila ridhaa yao.

Tatizo si nini kipo kwenye site hiyo leo. Mawili hayo hapo juu ni makosa kisheria.

Nini zaidi kinaweza kuwepo hapo kesho, wewe unajua?
 
Japo ni kweli impersonation ni kosa only if hiyo impersonation inatumika kufanyia uhalifu, ukifanya impersonation for comedy bila kutukana bila nia ovu ya uhalifu sio kosa, tumemuona Steve Nyerere, tulikuwa na JK, tulikuwa na Magufuli, etc!, sasa tuna Chadema, kwa vile mpaka sasa hiyo website hajafanya jinai yoyote, then at the moment Chadema has no ground to intervene!.

Jee Chadema wame patent neno Chadema?. Kama wamepatent then they go forward kushitaki, lakini, kwa Chadema ninayoufahamu mimi, kusajiliwa kwa Msajili wa vyama sio patenting, usajili wa patent names unafanyika Brela.

So far bado hukuna kosa lolote kisheria

Don't anticipates!.

1. Katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu palikuwa na kesi kumhusu mheshimiwa mmoja kuhusiana na acronym JPM na jinsi alivyokuwa kaitumia.

Huyu bwana alinusurika kutokana na kuwa kumbe JPM ingeweza kuwamo u Maharage. Sembuse neno kamili Chadema ndugu?

"Impersonation kwa nia au ridhaa gani ndiyo kinachogomba."

Wewe huoni hivyo ndugu?

2. Tofautisha chawa Nyerere na kilichopo hapa. Huyo amekuwa akiyafanya hayo kwa ridhaa ya hao uliowataja. Kwa maana nyingine akiwafagilia kujipatia political mileage. Kimsingi wakimlipa mapesa lukuki kwa kazi hiyo. Kwani Ben Sanane yuko wapi? Wangemkubalia kuyafanya hayo ya Mengele kwao?

Hujawasikia wanaojifanya kuwa usalama wa taifa, polisi, jwtz, au hata watu binafsi wala yanaowakuta?

Au kwako hapa leo ni mkuki Kwa nguruwe tu?

Kuna JK mmoja kakamatwa juzi CBE. Unadhani kaonewa?

3. Kwamba majina ya vyama vya siasa siyo patents? Kwani sheria ya vyama vya siasa inasema je? Jaji Mutungi kabariki uhuni huu?

Kwamba vyama viwili vinaweza kujinasibu kwa jina moja na hiyo kwako ni sawa?

Utakuwa umekipitia tena kile cha ilboru ndugu?
 
kwaujinga huu hii nchi haitakaa iendelee Mika buku.kama watuwenyewe wanajadili mambo ya chawa
 
Nimetembelea hii site, what is wrong with this site?.
  1. Kwani neno Chadema ni patent name?.
  2. Ukisema au ukiandika Chadema lazima umaanishe ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo?.
  3. Kama Chadema sio patent name ina maana ni neno ambalo halina copyright na mtu yoyote yuko huru kulitumia neno hilo vyovyote vile anapenda ikiwemo kupandisha website ya Chadema na kuweka kitu chochote kwenye website hiyo!.
  4. Jee kuna taasisi yoyote inayouzwa Chadema.org?. Kama hakuna taasisi yoyote iliyosajiliwa mahali popote duniani kwa jina la Chadema.org, then mtu yoyote yuko huru kusajili taasisi yenye jina la chadema.org na yuko huru kupandisha website ya chadema.org na akawa hajafanya kosa lolote la kimtandao.
  5. Na sio tuu kila mtu yuko huru kuannzisha chadema.org bali pia yuko huru kupandisha ccm.org, samia.org, kikwete.org, brazaj.org, or any other org with anyname na akawa hajafanya kosa lolote la kimtandao.
  6. Kwa taarifa yako, zaidi ya hii jamiiforums yetu, kuna website ya jamiiforums.halisi!. Zaidi ya taasisi ya Maxence Mello inayo host jamiiforums hii yetu ambayo ni Jamii Inc. Kuna Jamii Media ya Mike Mushi ambayo nayo ina run jamiiforums yake!.
  7. Kama kwenye hiyo chadema.org wangeandika chochote kuhusu kuwa hiyo ni website ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo yaani Chadema, hapo sasa Chadema ndio have the right kuingilia
  8. Kama wameweka offensive contents, kama child sexual abuse material za pornography or any content that depicts sexually explicit activities involving known people, unaweza kuwaripoti
  9. Kama ni website ya kutukana viongozi au kuhamasisha jambo lolote linalokwenda kinyume cha katiba, sheria, taratibu, kanuni, desturi, maadili ya kitanzania, unaweza kuwaripo!.
  10. Lakini hiyo website imeweka picha moja tuu ya mtu yenye maneno ya kumpongeza huyo mtu, bila neno jingine lolote, ina tatizo gani hadi ifungwe?.
Sio kila neno CCM ni Chama
Cha Mapinduzi, so does sio kila neno Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Mifano ipo!.

P
Naona kumbe ulirejea kufanya maboresho kwenye comment yako baada ya majibu yangu kwa yako ya awali hapa.

Nitakurejea kaa Kwa kutulia.
 
kwaujinga huu hii nchi haitakaa iendelee Mika buku.kama watuwenyewe wanajadili mambo ya chawa
Nchi haiendelei Kwa sababu hata mijinga inadhani Ina akili. 🤣🤣

Tatizo ni kuwa haipo kama ilivyo thermometer Kwa joto, kupima mjinga au mwerevu ni yupi.

Hii ya kujidhania mwenyewe Kwa ndiyo mwerevu wahenga walisema: "nyani haoni kundule!"

Mwisho wa kuwanukuu.
 
acha kuzunguka zunguka kwamisemo yawajinga wazamani ambao misemo yao walishindwa kuifanyia kazi.na waka kuambukiza nawewe.ndio Mana nikasema nchi inawajinga wengi ndio Mana itakuwa ngumu Sana kuendelea.kama mtu Kama wewe bado unaona misemo ya kale kwako inafanya kazi basi nakupa pole Sana.
 
Nimetembelea hii site, what is wrong with this site?.
  1. Kwani neno Chadema ni patent name?.
  2. Ukisema au ukiandika Chadema lazima umaanishe ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo?.
  3. Kama Chadema sio patent name ina maana ni neno ambalo halina copyright na mtu yoyote yuko huru kulitumia neno hilo vyovyote vile anapenda ikiwemo kupandisha website ya Chadema na kuweka kitu chochote kwenye website hiyo!.
  4. Jee kuna taasisi yoyote inayouzwa Chadema.org?. Kama hakuna taasisi yoyote iliyosajiliwa mahali popote duniani kwa jina la Chadema.org, then mtu yoyote yuko huru kusajili taasisi yenye jina la chadema.org na yuko huru kupandisha website ya chadema.org na akawa hajafanya kosa lolote la kimtandao.
  5. Na sio tuu kila mtu yuko huru kuannzisha chadema.org bali pia yuko huru kupandisha ccm.org, samia.org, kikwete.org, brazaj.org, or any other org with anyname na akawa hajafanya kosa lolote la kimtandao.
  6. Kwa taarifa yako, zaidi ya hii jamiiforums yetu, kuna website ya jamiiforums.halisi!. Zaidi ya taasisi ya Maxence Mello inayo host jamiiforums hii yetu ambayo ni Jamii Inc. Kuna Jamii Media ya Mike Mushi ambayo nayo ina run jamiiforums yake!.
  7. Kama kwenye hiyo chadema.org wangeandika chochote kuhusu kuwa hiyo ni website ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo yaani Chadema, hapo sasa Chadema ndio have the right kuingilia
  8. Kama wameweka offensive contents, kama child sexual abuse material za pornography or any content that depicts sexually explicit activities involving known people, unaweza kuwaripoti
  9. Kama ni website ya kutukana viongozi au kuhamasisha jambo lolote linalokwenda kinyume cha katiba, sheria, taratibu, kanuni, desturi, maadili ya kitanzania, unaweza kuwaripo!.
  10. Lakini hiyo website imeweka picha moja tuu ya mtu yenye maneno ya kumpongeza huyo mtu, bila neno jingine lolote, ina tatizo gani hadi ifungwe?.
Sio kila neno CCM ni Chama
Cha Mapinduzi, so does sio kila neno Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Mifano ipo!.

P

Rejea kesi hii ya 2016, Jamhuri dhidi ya bwana Wilson:

Aya ya mwisho na post #26 kwa pamoja zinahusika.

Kwani sheria za vyama vya siasa zinasema je? Kwani Jaji Mutungi anasema je? Au yeye ni vita vya Selasini na Mbatia tu?
 
acha kuzunguka zunguka kwamisemo yawajinga wazamani ambao misemo yao walishindwa kuifanyia kazi.na waka kuambukiza nawewe.ndio Mana nikasema nchi inawajinga wengi ndio Mana itakuwa ngumu Sana kuendelea.kama mtu Kama wewe bado unaona misemo ya kale kwako inafanya kazi basi nakupa pole Sana.
Kwani msemo wako (mpya au hata wa zamani) wenye lolote la maana uko wapi ndugu?
 
🤣🤣🤣zidi kukariri misemo yawatu wazamani utatokatuu hapo kwenu🤣

Joined yesterday 🤣🤣

IMG_20230129_105908.jpg
 
Back
Top Bottom