abdulatif himid
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 352
- 936
Hii supu imetiwa nazi.
Mchungaji nae safari inaelekea ubwabwani?Kwa status ya Mrema amernda mahali sahihi
Mchungaji Msigwa bado yuko kwenye foleni
Kuku-nazi.Inapendeza.Hii supu imetiwa nazi.
Wakuu,
CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55
Catherine Ruge, Mrema na wengine baada ya kupewa kadi ya uanachama wa CHAUMMA na kuwa wanachama rasmi wa chama hicho, waandishi wa habari wametoka nje kuwapisha CHAUMMA kufanya kikao cha ndani.
Kumemwagwa VX(V8) za kutosha, zinachotwa tu kutoka treasury hazina mahesabu.Haya waanze kupanda daladala kwanzia leo😄
Wakuu,
CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55
Catherine Ruge, Mrema na wengine baada ya kupewa kadi ya uanachama wa CHAUMMA na kuwa wanachama rasmi wa chama hicho, waandishi wa habari wametoka nje kuwapisha CHAUMMA kufanya kikao cha ndani.
Wakuu,
CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55
Catherine Ruge, Mrema na wengine baada ya kupewa kadi ya uanachama wa CHAUMMA na kuwa wanachama rasmi wa chama hicho, waandishi wa habari wametoka nje kuwapisha CHAUMMA kufanya kikao cha ndani.
Wakuu,
CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55
Catherine Ruge, Mrema na wengine baada ya kupewa kadi ya uanachama wa CHAUMMA na kuwa wanachama rasmi wa chama hicho, waandishi wa habari wametoka nje kuwapisha CHAUMMA kufanya kikao cha ndani.
Chauma inapesa gani ya kuwapa hawa wachaga.. hapo wameshamdanganya mzee wa watu rugwe ajipange asije kupokonywa chama..Vipande vya pesa hivyo. Yaani mpaka huruma. Bora kuishi bila chama.
Kama kuingizwa Choo cha jinsia tofauti ndiyo huku.