Act watamwangaliaje zito walimwita msaliti 🤣🤣Pesa za CCM zinaliwa kizembe sana ila Hawa jamaa wataaibika vibaya sana walau hata wangeenda act
watu hawana shida na wasaliti hawa.Heti nimesikia leo kulikuwa na mkuatano mkubwa wa chama cha ubwabwa "CHAUMA" alafu wala hatualikani wala nini sio vizuri.
#HAKUNA MAGEUZI #HAKUNA UCHAGUZI
na pesa ya maFISIEM ndo wamenunulia ubwabwaWalitumwa na CCM wazime upepo wa kesi ya lisu Cha ajabu wamegundua hawana ushawishi wowote
Maana jamaa alikuwa analalamika Hana pesa za kufanya mkutano mkuuna pesa ya maFISIEM ndo wamenunulia ubwabwa
Lissu anapambania HAKI hawa wanapambania TONGE.Walitumwa na CCM wazime upepo wa kesi ya lisu Cha ajabu wamegundua hawana ushawishi wowote
Kwahy watu waache kufanya mambo yao kisa lissu yupo mahakamani?Walitumwa na CCM wazime upepo wa kesi ya lisu Cha ajabu wamegundua hawana ushawishi wowote
Kwan lowassa walimuangaliaje na walimuita fisadi 😂Act watamwangaliaje zito walimwita msaliti 🤣🤣
Ule Mliokula pale Kisutu hamkushiba?Heti nimesikia leo kulikuwa na mkuatano mkubwa wa chama cha ubwabwa "CHAUMA" alafu wala hatualikani wala nini sio vizuri.
#HAKUNA MAGEUZI #HAKUNA UCHAGUZI
Hahaha.. Mgeni karibuHeti nimesikia leo kulikuwa na mkuatano mkubwa wa chama cha ubwabwa "CHAUMA" alafu wala hatualikani wala nini sio vizuri.
#HAKUNA MAGEUZI #HAKUNA UCHAGUZI
Heti nimesikia leo kulikuwa na mkuatano mkubwa wa chama cha ubwabwa "CHAUMA" alafu wala hatualikani wala nini sio vizuri.
#HAKUNA MAGEUZI #HAKUNA UCHAGUZI
inategemea kama wamefanya kwa sababu hiyo au laahKwahy watu waache kufanya mambo yao kisa lissu yupo mahakamani?
mtu yoyote maskini anayeshabikia watanzania wenzake kuuwawa kisutu na kuvunjwa viungo vyao hana akili na kwasababu hana akili yupo sahihi kushabikia mateso ya watanzania wenzake wanao pigania haki zake yeye maskini.Ule Mliokula pale Kisutu hamkushiba?
Sasa ww unajuaje kuwa wanafanya hayo ili kuzuia jambo fulani kuzungumzwa?inategemea kama wamefanya kwa sababu hiyo au laah
Nawewe ulijuaje kama walijitoa tu kwa sababu nyengine ?Sasa ww unajuaje kuwa wanafanya hayo ili kuzuia jambo fulani kuzungumzwa?
Kwa sababu wana haki yao kujitoa na kujiweka pengine.Nawewe ulijuaje kama walijitoa tu kwa sababu nyengine ?