PreGE2025 CHAUMMA yapokea rasmi baadhi ya G55 walioondoka CHADEMA

PreGE2025 CHAUMMA yapokea rasmi baadhi ya G55 walioondoka CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Heti nimesikia leo kulikuwa na mkuatano mkubwa wa chama cha ubwabwa "CHAUMA" alafu wala hatualikani wala nini sio vizuri.

#HAKUNA MAGEUZI #HAKUNA UCHAGUZI
Hivi mageuzi na mapitio, marekebisho na maboresho ni jambo moja? Falsafa ya no reform no election inakita hasa nini kufumua kila kitu na kuanza upya au kundoa dosari na kuweka sawa
 
Heti nimesikia leo kulikuwa na mkuatano mkubwa wa chama cha ubwabwa "CHAUMA" alafu wala hatualikani wala nini sio vizuri.

#HAKUNA MAGEUZI #HAKUNA UCHAGUZI
ubwabwa utakuwa na ubwabwa maana mwenye ubwabwa ni mtarajiwa wa kuliwa ubwabwa siku ya hitima
 
Hawa G55 watakuja kula teuzi za rais
 
Back
Top Bottom