PreGE2025 CHAUMMA yapokea rasmi baadhi ya G55 walioondoka CHADEMA

PreGE2025 CHAUMMA yapokea rasmi baadhi ya G55 walioondoka CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tuache kujipa moyo, chadema ndiyo imekufa hivyo.

"Ni bora mimi nisiingie ikulu kuliko Lissu kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya Tanzania".
 
Hii ilivuja mapeeeema. Mpango wa State huu
Lilikua ni Jambo la mudaaa...watu wamepewa ulinzi...mpaka apartment huko kwa wazitooo...ushuani.

INA semwa mmoja wao akiwa BAR 🍺 🍻 ALITOFAUTIANA ITIKADI akanyanyua CALL 🤙 zikaja defender 3 za ma police 🚓 ndipo ikagundulika CHAUMMA NI MPANGO WA STATE 🥺
 
Vipande vya pesa hivyo. Yaani mpaka huruma. Bora kuishi bila chama.

Kama kuingizwa Choo cha jinsia tofauti ndiyo huku.
Mbona Lisu na Lema walitoka TLP wakapatia ubunge Chadema!!?waacheni watu waamue wenyewe.
 
Kwa sasa chadema hakina idadi ya wanachama inayotakiwa kuwa nayo kwa kila mkoa ili kutambulike kama chama halali.

Namshauri msajili wa vyama vya siasa aanzishe mchakato wa kukifutia usajili.

Muda si mrefu, Lissu na genge lake mtakuwa nao kijiweni.
Ukijua hili sisi tunajua lile.
 
Majinga haya. Yameacha demokrasia yamefuata wali a.k.a ubwabwa.
 
Back
Top Bottom