CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

Umaarufu upi?
Labda umaarufu huko lumumba
 
Mara mia nitekwe niuliwe nife kabisa,lakini siyo kwa kuhongwa pesa na kuamrishwa niende CHAUMA,nikaanze kuhubiri Ubwabwa wakati wa kampeni? Huu ni uchizi zaidi ya ukichaa
 
Kutokuishi katika misingi, ndio tatiozo

Huwezi kuwa binadamu alafu unaishi kama nzi yani wewe kila kitu kwako sawa.
 
Kaka usipoteze muda chama kimeundwa na watu wa mamlaka kuendelea kuwahadaa watanzania.

Mpinzani yeyote na chama chake ambaye anakubaliana na mfumo weru huu wa uchaguzi basi elewa huyo kanyaboya.
 
chadema wanapambana na ccm pamoja na washirika wake akina chauma na wengine ila chadema watashinda mwisho wa siku,hivi vyama akina chauma ni kwaajilia ya uchaguzi na kuiua chadema hilo kila mwananchi analifahamu
 
Inaonekana mbwa wote wanahamia CHAUMA. Na kuna tetesi kuwa mwenye mbwa mwenyewe anahamia huko kwenye mkutano mkuu wa CHAUMA...

 
Sina hakika kama wote ni chadema.
Yawezekana humohumo kuna CCM
 
Hii post ilianzishwa Mei 20. Mtu huyu alikuwa anazungumza jambo kwa muono wa mbali, maana hata Chaumma ilikuwa haijaanza kazi.

Sasa baada ya miezi miwili tu ya Operesheni chaumma4change unaweza kufanya tathmini ya hoja yake.

Aliona kile ambacho wenzake hawakuona. Baada ya uchaguzi, CHAUMMA itakuwa habari nyingine.
 
Hawakuona kwa sababu walijitia upofu na ujinga. Wanadhani CHADEMA ilizuka tu! Kwa taarifa yao CHADEMA iliundwa na kulelewa na viongozi na wanachama amboa wao ndiyo wanawadharau kwa sasa. CHAUMMA pia. Siasa ya vyama vingi iko hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…