CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

Ikifika Oktoba Kura zote ni kwa Advocate Mheshimiwa Dr Hashim Rungwe Spunda
 
Kawa chaguo la watanzania tena au chaguo la ubwabwa
 
kabisa mkuu tule ubwabwa angalau kwa miaka 5 labda akili zitafunguka
 
Hashim rungwe, mtu anayeonekana kama chizi katika mitandao,
Ila ni,
Tajiri, mwenye moyo mwenye upendo kwenye jamii anayoishi, mpenda haki, msema ukweli na mtimiza mahitaji mengi ya watu wanaomzunguka.
Tajiri wa kijitonyama na makumbusho, mfanyabiashara wa magari miaka na miaka, asiye na skendo ya wizi, rushwa, uhujumu uchumi wala kesi mahakamani.
Mtu smart, sauti ya kukwaruza yenye hekima.
Kuna muda natamanigi akose uraisi basi tumpe hata ubunge.
Hawa matajiri wana mengi mazuri, ila wengi ndio tunawaona kama machizi wasioweza,
Kongole moro ya abood.
Ipo siku hashim rungwe mzee wa ubwabwa. Na naamini wanaojiunga nao wamemgundua yeye ni nani.
 
Ubwabwa na kitimoto rosti ni tamu zaidi ya kupewa mabikira 72.
Dr Spunda umepata kura yangu.
 
Chaumaccm ni chama cha ccm kwani pesa za kuwanunua G55 kisha kuwapeleka chauma ni pesa za walipa kodi
 
Chaumaccm ni Tawi haramu la ccm ni chama cha kutakatisha pesa haramu toka ccm kwa sasa mabilioni ya walipa kodi yanaliwa na madalali wa Siasa akina Mbowe na G55 wake, pesa inayotumika kuidhoofisha chadema ni pesa nyingi sana, ni pesa ingeweza kujenga vyuo vikuu kila mkoa na hospital za rufaa kila mkoa watanzania wakapata huduma pasipo kusumbuka kusafiri umbali mrefu
 
umaarufu wa dhihaka, ....
Hata Piere Liquid alikuwa maarufu wa dhihaka lakini alikuwa maarufu kuliko wewe. Alikaribishwa Bungeni na Waziri Mkuu! Wewe hata Mwenyekiti wa Kitongoji HAJAWAHI kukukaribisha! Ahahahahaha!!!
 
Ubwabwa na kitimoto rosti ni tamu zaidi ya kupewa mabikira 72.
Dr Spunda umepata kura yangu.
Mbowe katajirika sana kupitia huo Udalali, kapiga pesa ndefu kwa sasa mbowe ndiyo mnufaika mkuu wa uhamisho wa G65 kwenda Chaumaccm kwa njia haramu za kishetani
 
CHADEMA NI CHUO CHA KUZALISHA WANASIASA MAHIRI CCM, ACT NCCR NA SASA CHAUMMA. CHADEMA ISHUKURIWE MNO. INA INAVIPA PROMOTION VYAMA
ccm inatumia mabilioni ya walipa kodi kuwanunulia Chaumaccm wanachama ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
Hiki Sasa ndio Chama kitakacho isumbua ccm

Hakina udini
Hakina ukabila
Hakina uchawa
 
Umaarufu wa CHAUMMA upo kwa wachumia tumbo, na CCM walioamua kuifanya CHAUMMA kuwa jumuia yao. Lakini hakuna mtu mwenye akili timamu, mwenye mawazo huru, anayechukia dhuluma, anayeweza kwenda CHAUMMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…