dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,346
Na tunda pia! 😆😆Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
Watakuja kupigwa chenga ya uhakika. Labda hawawajui vizuri kijani. Kwasasa watawatumia Kisha watawatupa kama toilet paperNi chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
Wanaubwabwa wanao umaaarufu siku zote kwani walikuwa hawajui?sherehe ubwabwa,besidei ubwabwa,harusi ubwabwa,kicheni patii ubwabwa,arobaini ubwabwa,Idd ubwawa,pasaka ubwabwa,mwaka mpyaa ubwabwa!Hiiiiiii?sasa mnachemaje chauma sii maaaarufu?Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
Umaarufu una pande mbili mtu akizaliwa anapata umaarufu, hongera nyingi na majina mapya,akifa umaarufu unaongezeka pole ni nyingi na rambirambi za kutosha,mzoga ukianza kuonza umaarufu unaongezeka,inzi,funza,fisi wote wanaupa umaarufu mzoga,itazame CHAUMMA na umaarufu wake utaelewa ninachomaanisha.Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
Eti nyie ndo ccm inawategemea kuitetea mitandaoni aaaahahahaaaaaaNi chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
chama cha ubwabwa are you serious. Can you derive policy indicators for ubwabwa.Mtu mwenye akili timamu unawezaje kuishangilia CHAUMMA
Haieleweki sera na mikakati yake kwa taifa zaidi ya mambo ya kitoto tu
Hakuna kitu ni sawa na marehemu aliye pata umaharufu kwa kunywa sumu kali na kufa .Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
ubwabwa ndiyo sera ya chama,wengi seriousness haipo.Mtu mwenye akili timamu unawezaje kuishangilia CHAUMMA
Haieleweki sera na mikakati yake kwa taifa zaidi ya mambo ya kitoto tu
Yah! Lakini kinaonekana kama chama cha comedians. Tena na zile story za ubwabwa ndo kabisaaNi chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
Chaumwa kipo aisiiiyu au kipo mapunziko kwa sasa?Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe